Introducing teamrafiki

ahsante Eshy! mimi ni mtuhumiwa lakini!!! si unaona ninavyopigwa mawe kila kona!! yani kuanzia Ntuzu, utafiti mzee wa busara, Lady niece katibu mpaka Mndengereko mwenyekiti... wote wananikodolea jicho!!
pole kwa hilo
sijui nna damu ya kunguni! looo!

pole una bahati ya paka kupendwa na wachawi lol!!

we umetoa wapi netiweki kwenye hali hii ya hewa...? mwache Eshy m.s apumzike kidogo aisee!!

muoneshe upendo wa timu rafiki bana!

netiweki zipo all the time as long as hautumii michina
 
images
 
nishawapa go ahead mpaka utakaposalimu amri n kuwa teamrafiki

unasemajeeee?? aisee naona unataka kuchafua hali ya hewa!! huo urafiki unalazimishwa?

kuwa na upendo lazima ujiunge kwenye saccoss ama? hii si willingness ya mtu?
 
Back
Top Bottom