Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

vunga g

Member
Sep 5, 2011
83
37
Wakuu habari
Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records)

****Im looking for investor patner/ co founder in exchange to company shares to cover up the some cost before launching the business

Business model: software as service solution (Saas) so mteja anakuwa analipa kulingana na huduma
Example
1)First : One time payment wakati hospital inafanya registration ili kutumia software.
2)Second: Hospitals, clinics , dispensaries)
monthly fees coz of daily data upload kwenye software, so users wanakuwa charged

(This is how most hospital pays for their software vendors to use hospital management software)

Market overview
Current market Software Cost for registration per one hospital is between Tsh 1.0 mil - 5.0 mil plus
Monthly subscription rates
150,000- 750,000/- per registered hospital .

Software yangu ina support unlimited number of hospital and healthcare center pia inaweza tumika popote nje na ndani ya Tanzania

3) software ni cloud based system , hospital admin/manager anaweza ku access hospital operations pamoja na reports popote alipo kwa ku login kwenye software .
Huduma zilizopo kwenye software
a)Human resources management department
b)Accounts department
c)Pharmacy management
d)Daily patience registration report includes payment
e)Medicine management
f)Hospital employees (doctor,receptionist,lab technician, etc wanaweza kutumia hata simu ku access hii software na kufanya kazi endapo kuna tatizo la umeme or incase of any network problem within hospital.
e)Blood donor database and many more features

Contact via email kwa maelezo zaidi ya hii software pamoja na screenshoot za software ilivyo

4)Milestone
a) Software iko developed tayari, but not installed on live server ili kuanza kazi
b)application ya simu (doctor app) pamoja na (patient app) zipo tayari bado kuhost playstore na appstore .

The unique features about this software compared to other software zilizopo
kwenye soko la hospital management software

1)doctor anaweza kufanya online consultation kwa mobile app
2)mgonjwa anaweza book appointment na doctor online ku pitia mobile app, view history ya matibabu yake , pia kufanya malipo online kwa kutumia patient app via visa card , mastercard etc
3)Support Unlimited number of Hospitals

****Im looking for investor patner/ co founder in exchange to company shares to cover up the some cost before launching the business .

1) Live hosting for both online platform and mobile apps ili kuanza operation rasmi .
2)Initial office setup cost pamoja na 2-5 employee salary for atleast first six months kwa upande wa
a)sales and marketing team
b)IT support, and office admin

About uandishi please ignore its just rough description

Natafuta only maximum of 3 investor/co founder either companies or personal investors
more details on business plan, Sales/profit projection and it’s general technology used on software.

Pia kwa ushauri na maoni

Please send email: marleyjobs1at gmaildotcom
Subject line (Investor For Hospital Software)

Current Physical Location: Arusha Tz.

Tunaweza fanya short online meeting via zoom but kama upo arusha tunaweza onana physically

Karibu
 
Uko vizuri; kama utakuwa na ujuzi wa kutengeneza 'software' ya kutengeneza video za katuni 'animation', tunaweza kuongea biashara.
 
Yes mkuu inawezekana, but kwa case yako huna haja ya kuwa na custom app kama unachotaka ni kutengeza animation cartoons, but lets discuss more about it nijue kwanza business model yako before app .

Anyone in need of
software app like uber , chatting app like whatsapp , custom single vendor e-commerce app , na games mbali mbali just give me more info about your app requirements on email

Email:marleyjobs1atgmaildotcom

Maximum delivery time per project is 30days.

Thanks.
 
Weka na namba ya simu kwa mawasiliano zaidi
 
Please send email mkuu kuhusu project yako na maelezo yake kidogo
Mfano
1)Nataka e-commerce software pamoja Mobile Apps Android /Ios kwa ajili ya duka au biashara .

2) Au Tour opeator website portal plus mobile apps ambayo mteja ataweza kulipia moja kwa moja online kupitia mobile app yako na pesa kuingia direct kwenye accout yako /no re routing of transactions.

From there nitakupa feedback pamoja namba ya simu baada ya kupitia maelezo yako.
 
Wakuu habari
Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records )

Business model: software as service solution (Saas) so mteja anakuwa analipa kulingana na huduma
Example
1)First : One time payment wakati hospital inafanya registration ili kutumia software.
2)Second: Hospitals, clinics , dispensaries)
monthly fees coz of daily data upload kwenye software, so users wanakuwa charged

(This is how most hospital pays for their software vendors to use hospital management software)

Market overview
Current market Software Cost for registration per one hospital is between Tsh 1.0 mil - 5.0 mil plus
Monthly subscription rates
150,000- 750,000/- per registered hospital .

Software yangu ina support unlimited number of hospital and healthcare center pia inaweza tumika popote nje na ndani ya Tanzania

3) software ni cloud based system , hospital admin/manager anaweza ku access hospital operations pamoja na reports popote alipo kwa ku login kwenye software .
Huduma zilizopo kwenye software
a)Human resources management department
b)Accounts department
c)Pharmacy management
d)Daily patience registration report includes payment
e)Medicine management
f)Hospital employees (doctor,receptionist,lab technician, etc wanaweza kutumia hata simu ku access hii software na kufanya kazi endapo kuna tatizo la umeme or incase of any network problem within hospital.
e)Blood donor database and many more features

unaweza kupitia zaidi instagram page @intro_smarthospital kwa maelezo zaidi ya hii software pamoja na screenshoot za software ilivyo

4)Milestone
a) Software iko developed tayari, but not installed on live server ili kuanza kazi
b)application ya simu (doctor app) pamoja na (patient app) zipo tayari bado kuhost playstore na appstore .

The unique features about this software compared to other software zilizopo
kwenye soko la hospital management software

1)doctor anaweza kufanya online consultation kwa mobile app
2)mgonjwa anaweza book appointment na doctor online ku pitia mobile app, view history ya matibabu yake , pia kufanya malipo online kwa kutumia patient app via visa card , mastercard etc
3)Support Unlimited number of Hospitals

****Im looking for investor patner/ co founder in exchange to company shares to cover up the some cost before launching the business

1) Live hosting for both online platform and mobile apps ili kuanza operation rasmi .
2)Initial office setup cost pamoja na 2-5 employee salary for atleast first six months kwa upande wa
a)sales and marketing team
b)IT support, and office admin

About uandishi please ignore its just rough description

Natafuta only maximum of 3 investor/co founder either companies or personal investors
more details on business plan, Sales/profit projection and it’s general technology used on software.

Pia kwa ushauri na maoni

Please send email: marleyjobs1at gmaildotcom
Subject line (Investor For Hospital Software)

Current Physical Location: Arusha Tz.

Tunaweza fanya short online meeting via zoom but kama upo arusha tunaweza onana physically

Karibu
calvin.investor@yahoo.com

Tuwasiliane
 
mkuu vunga g nakutakia kila lililo jema likutokee ktk hii kitu.
 
Kwa JF kupata sponsa wa issue za software sidhani
Thanks kwa feedback mkuu , naomba msaada tafadhali kama unafahamu platform au connection za investors.

Naamin Hapa JF wapo wengi tu coz JF ni kubwa the only challenge i see ni awerness kuhusu software business, coz hamna mtu anaweza fanya investment kwenye biashara ambayo haifahamu vizuri , but software business ni biashara kama biashara nyingine tofauti tu business structure.

Anyone interested please let me know kwa email i will offer enough information about this business.

Email:marleyjobs1atgmaildotcom

Subject line : INVESTOR FOR HOSPITAL SOFTWARE
Thanks
 
Wakuu habari
Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records )

Business model: software as service solution (Saas) so mteja anakuwa analipa kulingana na huduma
Example
1)First : One time payment wakati hospital inafanya registration ili kutumia software.
2)Second: Hospitals, clinics , dispensaries)
monthly fees coz of daily data upload kwenye software, so users wanakuwa charged

(This is how most hospital pays for their software vendors to use hospital management software)

Market overview
Current market Software Cost for registration per one hospital is between Tsh 1.0 mil - 5.0 mil plus
Monthly subscription rates
150,000- 750,000/- per registered hospital .

Software yangu ina support unlimited number of hospital and healthcare center pia inaweza tumika popote nje na ndani ya Tanzania

3) software ni cloud based system , hospital admin/manager anaweza ku access hospital operations pamoja na reports popote alipo kwa ku login kwenye software .
Huduma zilizopo kwenye software
a)Human resources management department
b)Accounts department
c)Pharmacy management
d)Daily patience registration report includes payment
e)Medicine management
f)Hospital employees (doctor,receptionist,lab technician, etc wanaweza kutumia hata simu ku access hii software na kufanya kazi endapo kuna tatizo la umeme or incase of any network problem within hospital.
e)Blood donor database and many more features

unaweza kupitia zaidi instagram page @intro_smarthospital kwa maelezo zaidi ya hii software pamoja na screenshoot za software ilivyo

4)Milestone
a) Software iko developed tayari, but not installed on live server ili kuanza kazi
b)application ya simu (doctor app) pamoja na (patient app) zipo tayari bado kuhost playstore na appstore .

The unique features about this software compared to other software zilizopo
kwenye soko la hospital management software

1)doctor anaweza kufanya online consultation kwa mobile app
2)mgonjwa anaweza book appointment na doctor online ku pitia mobile app, view history ya matibabu yake , pia kufanya malipo online kwa kutumia patient app via visa card , mastercard etc
3)Support Unlimited number of Hospitals

****Im looking for investor patner/ co founder in exchange to company shares to cover up the some cost before launching the business

1) Live hosting for both online platform and mobile apps ili kuanza operation rasmi .
2)Initial office setup cost pamoja na 2-5 employee salary for atleast first six months kwa upande wa
a)sales and marketing team
b)IT support, and office admin

About uandishi please ignore its just rough description

Natafuta only maximum of 3 investor/co founder either companies or personal investors
more details on business plan, Sales/profit projection and it’s general technology used on software.

Pia kwa ushauri na maoni

Please send email: marleyjobs1at gmaildotcom
Subject line (Investor For Hospital Software)

Current Physical Location: Arusha Tz.

Tunaweza fanya short online meeting via zoom but kama upo arusha tunaweza onana physically

Karibu

Nahitaji kujua kwenye patient payment method na salary ya wafanyakazi wako ni sh ngapi kwa mwezi?
 
Mkuu patient payment ni feature tu ambayo inampa urahisi wa kufanya malipo mteja/mgonjwa kama atapata matibabu kwenye hospitali ambayo watatumia hii software , na salary ni variables kulingana na input power ya employee, muda na experience .
Back to your questions
1)Mteja anaweza fanya malipo online kupitia patient app kutumia card (,visacard,mastercard )au mobile money with aid of payment gateway then payment itaingia moja kwa moja kwenye account ya hospital so hii feature ni beneficial kwa clients kurahisisha kupokea malipo kwa haraka .
2)Monthly salary:
Depending on number of departments ,employees na financial position ya kampuni kwa mda husika so huwezi fanya forecast ya profit ya kampuni kwa kukutajia figures za mshahara mfano (500,000- 2,000,000/- per employee)
Kama upo interested please send email mkuu ntakupa sales forecasts, operation structure na estimate budget for first 3 years , japo kwenye hii thread nimetaja cost for 6months hoping after 6months kampuni itakuwa tayari ina uwezo wa kujiendesha na kutengeza faida.
Then from there utaweza fanya decision either to invest or not

Una prototype ya huu mfumo? Natamani sana nione kwa upande wa mteja/patient anavyolipia malipo ya huduma kwenye app, maana kwenye swala la malipo ni kizungumkuti sana kwa tz. Labda uniambie ni kampuni ip kwa sasa unafanya nayo kwenye upande wa payment gateway.
Kiingine jaribu kuwa na video demo ili investors wasiwe na maswali mengi. Nice idea but video demo is very important for investors to make decision and to understand how your system works on real environment.

Uko mkoa gani braza?
 
Mkuu nimekupata lakin kwa bahati mbaya siwezi reveal any technology information coz they are key success factors na zipo nje ya malengo ya uzi wangu , im here looking for co founder/investor .

Demo ya app nimeweka instagram link mwanzoni mwa uzi unaweza pitia ukaona screenshoot .

If you’re looking for technology advice information please don’t waste your time.
Kama una business software project just send email.

About location nimetaja nipo arusha mkuu.
Thanks
 
Kuna mtu mmoja alitaka sponsorship kama hii, akamfuata mtu akamwambia anataka sponsorship akataja crazy amount of money, akasema hii lazima ifanikiwe, akamwambia ok kama vipi nitakupa sponsor lete mdhamini nikakukopee bank.

Haha jamaa kakimbia... hahaha kama kweli unaamini italipa why not kukopa bank?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom