Introducing: Farida

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Heshima zenu wakuu,

Namtambulisha Admin mpya; dada yetu Farida, natumaini mtampa ushirikiano wa karibu katika utendaji wake.

Ahsante
 
farida umeolewa ? una umri gani je uko dar ? karibu sana dada/mama/bibi/kimwana/dear/

Sasa Ndugu yangu Shy, Wewe hujaoa :)))? Farida ni dada yangu, kama hujaoa na unataka umuoe ninahitaji Ng'ombe 70 wa Maziwa, Mbozi 30 wa maziwa na Kondoo 10 wa Australia.

Upo hapo? Karibu sana kwenye ukoo wetu.
 
Mchungaji nilifikiri nitapata baraka za kichungaji ,sina uwezo wa kutoa ngombe hao ila nina jambo naweza kuahidi na kulitekeleza
 
Mchungaji nilifikiri nitapata baraka za kichungaji ,sina uwezo wa kutoa ngombe hao ila nina jambo naweza kuahidi na kulitekeleza

Ndugu yangu Shy, mbona hujasema kama umeoa au hujaoa? na kama umeoa unataka umuoe huyu dada yangu kuwa mke wa ngapi? :)D)

Dada yangu hatoki bila hayo mahari niliyotaja hapo juu.


Karibu sana kwenye Ukoo wetu.
 
Sasa Ndugu yangu Shy, Wewe hujaoa :)))? Farida ni dada yangu, kama hujaoa na unataka umuoe ninahitaji Ng'ombe 70 wa Maziwa, Mbozi 30 wa maziwa na Kondoo 10 wa Australia.

Upo hapo? Karibu sana kwenye ukoo wetu.

watu wa pwani huwa hatupokei MIJINGOMBE kama mahari

anayetaka aoe shurti atoe SANDUKU la dhahabu, return tickets za ETIHAD za Dar-ABUDHABI za miaka 2,tena first class,awe walau ana mijighorofa 3 pale kariakoo na zaidi ya hayo awe ni allim ..maana kuwa na pesa hakutoshi

na mwisho zaidi awe na JAWAZ& JINSIA
 
Sasa Ndugu yangu Shy, Wewe hujaoa :)))? Farida ni dada yangu, kama hujaoa na unataka umuoe ninahitaji Ng'ombe 70 wa Maziwa, Mbozi 30 wa maziwa na Kondoo 10 wa Australia.

Upo hapo? Karibu sana kwenye ukoo wetu.


Hujui mkuu?
Shy naye ni binti sasa sijui kama anaweza kuoa lakini kwa mila zetu anaweza kuolewa sijui kama kesha olewa...
Karibu Farida lakini usiwe unang'ata sana uwe unang'ata na kupuliza....
 
Karibu admin mgeni, nakutakia heri katika utendaji kazi yako. Kuwa na moyo wa subira kwani palipo na wengi hapakosi mikwaruzo.
 
Ramadhani yote hii mkuu? duh! haya
Yakhe,

Wanasema haki sawa kwa wote! Wengi naona wananiita 'Kaka Invisible' sasa nikaona ngoja na dada awe katika Administration team.

She seems to be too shy, she haven't responded... :)
Duh!! Intro imezua mambo!! Watu wameacha kumpokea "Farida", wameingia kwenye mengine!
Ndo 'wanampokea' kwa style ya 'kumtokea' akiwa na upendeleo basi itakuwa balaa!
 
Mhh...karibu farida katika ukubwa...

Mhh hapa ndio penyewe...sasa kwenye ku ban...na kuhamisha thread,block.ranks,etc.
Maswali na majibu....then unakuwa pouwa.

Ur welcome.
 
Karibu dada Farida, mie sina maswali kabisa na wewe kama Shy akibahatika basi mie ntakuja kuimba anameremeta hapo ukumbini!! LOL
 
Karibu jf Farida. Haya mengine ni matani tu. C unajua wengine ile thread ya jokes hawajui ilipo wanadahni ipo hapa.
Any way hata mimi ninajoke! hahahahahah.
Karibu na timiza majukumu yako kama kawaida. Usiogope mtu eti kwa kuwa wewe ni dada.
 
wabongo si utani; mmeambiwa anaitwa farida basi imekuwa vurugu well badala ya kumkaribisha na kumtakia mafanikio. Karibu sana Farida na nakutakia mafanikio mema katika jukumu lako hili.

Pamoja na hayo, Nilikuwa nina kitu napenda kuuliza, can you PM please na namba yako..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom