Interview Benki ya Posta

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
429
61
Wadau nimetumiwa sms kuhudhuria iterview tarehe 13 Nov na post ya group lending na benki tajwa hapo juu,kuna mwingine amepata ujue huo?HQ ya hiyo benki ipo wapi?
 
daaa mi pia niliomba hii post labda nickilizie ...
 
bwana ngarantoni tuabarshe kuhusu interview posta bank au ulikuwaunadanganya nini kwamaana kiiiiiimyaaa na ulisema umetumiwa SMS.
 
Samahani sana wakuu,simu ilizingua,hata hivyo sikwenda tena,niliambiwa eti mshahara laki tatu na ni kuhangaika mitaani kutafuta wateja,sio kwamba ni kazi mbaya,ila eneo nililokuwepo na muda walionipa ulikuwa mdogo sana.lakini pia mwenye kujua vema anaweza akatupa ukweli zaidi
 
always mambo ya kumbiwa changanya na yako!
 
nan kakudanganya ? akili za kupewa changany na za kwako...TPB ukiajiliw tu unaanza na 65000 kama basic ,unapew monthly transport ya 65 , na ww wa mikopo kuna allowanc na bonuses...unatak kazi ya aina gani kwa kuanzia ?
 
Back
Top Bottom