Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi?

karue

Senior Member
Oct 31, 2018
191
347
Heshima kwenu ninyi nyote,
Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima?

Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi wa chini huo mtaji hawaupati kwa urahisi kutokana na masharti mengi kutoka benki zingine,

Naomba pia kujua namna ya kupata mkopo kutoka benki ya mkulima Kama kweli iyo benki ipo
 
Ipo kama haipo...hawajibu emails wapuuzi hao!
 
Duh hio bank naisikia tu vipi uendeshwaji wake??? Ni kikundi cha wakulima??
 
Hii benki inatumia jina tu wakulima ila ilipaswa iitwe jina benki ya mabepari mm nimeomba mkopo miaka zaidi ya miwili nimeambulia patupu na hakuna kusikilizwa sijui inakopesha wakulima gani kama mm ninalima shamba la zaidi ya ekari 40 Bado nikaonekana sina sifa ilinishangaza Kwa kweli na nilishakata tamaa na hoo watu.
 
Heshima kwenu ninyi nyote,
Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima?

Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi wa chini huo mtaji hawaupati kwa urahisi kutokana na masharti mengi kutoka benki zingine,

Naomba pia kujua namna ya kupata mkopo kutoka benki ya mkulima Kama kweli iyo benki ipo
Sijawahi ona mdeni anayelipa mkopo benki bila kuwa na collateral yoyote yenye thamani zaidi ya pesa alochukua kuwa dhamana
 
Back
Top Bottom