Interpol wanasa bilionea mwingine Arusha

Kama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.

Wakuu mbona hata Magogoni hakuna mtu! Kwanini tusiwakabidhi na pale tu?
 
Je mtanzania unatakiwa kuwa na sh ngapi bank au mkono? Je pesa alali ni hipi ? MBONA RIZI ONE ajakamatwa Je wajua kwani anajiita Rizi one ?
 
hapa tunaweza kuibinafsisha hata polisi na mahakama zetu pia. hakuna chochote wanachokifanya. kama TAKUKURU ya Hozea ilikuwa inamsafisha mzee wa vizenti eti hana hatia sasa wanasema tena eti ana kesi ya kujibu. hatuna tunalolijua
 
Naomba kuuliza hivi ukiwa na ndugu yako aweza kuwa kaka,mdogo wako au baba yako au shangazi yako mwizi unafanyaje kuonyesha kuwa upendii tabia yake hiyo ya wizi kwani kwako unaona inaleta jina baya kwa familia na kuwa ni jambo baya na jamii inawachukulia ninyi nyote wanafamilia na jamaa zenu wote kuwa ni wezi walewale.,ukizangatia baadhi ya Wanandugu na marafiki zenu wanamfurahia ndugu yenu mwizi jinsi anavyowapa na kuwatimizia mahitaji yao yote kwa pesa za wizi.

Naomba kujua utatumia njia gani kumshughulikia ndugu yako huyo mwizi ili usilete lawama na mtafaruku kwa ndugu zako na jamaa ambao daima wamekuwa wakifaidika na wizi wake huo?
 
Naomba kuuliza hivi ukiwa na ndugu yako aweza kuwa kaka,mdogo wako au baba yako au shangazi yako mwizi unafanyaje kuonyesha kuwa upendii tabia yake hiyo ya wizi kwani kwako unaona inaleta jina baya kwa familia na kuwa ni jambo baya na jamii inawachukulia ninyi nyote wanafamilia na jamaa zenu wote kuwa ni wezi walewale.,ukizangatia baadhi ya Wanandugu na marafiki zenu wanamfurahia ndugu yenu mwizi jinsi anavyowapa na kuwatimizia mahitaji yao yote kwa pesa za wizi.

Naomba kujua utatumia njia gani kumshughulikia ndugu yako huyo mwizi ili usilete lawama na mtafaruku kwa ndugu zako na jamaa ambao daima wamekuwa wakifaidika na wizi wake huo?

Nakuomba ni PM!
 
Mkuu, Interpol watawafichua, polisi na TISS watawalinda kwa gharama zoote! This Is Tanzania (TIT)
Lakini si bora wamejulikana, ukimjua mwizi utajihadhali unapokutana naye kuliko kutomjua, angalia habari ya Shimbo ingawa bado ni tuhuma/tetesi lakini watu wanajiuliza inakuwaje kiongozi wa jeshi afanye hayo?, mbali na wananchi kujiuliza hata yeye anajiuliza watu wananifikiriaje, hali hiyo kwa pande zote inatosha sana kusaidia kujirekebisha kwa kiwango fulani.
 
Angalia usije ukawa unamuombea mabaya Mfadhili wenu mkuu...
Hata wewe leo unajifanya kumkana mfadhili wenu mkuu ajabu.............

Itafikia muda mtawakana wote.........ilitabiriwa kuwa siku za mwisho itafikia kipindi watu watazikimbia pesa barabarani wataona hazina faida

CCM ndipo wanakoelekea mmeanza kumkana RA leo unamkana Alex wakati anajulikana wazi ni mfadhili wa kofia na t-shit.
 
Mbunge wa Arusha mjini muheshimiwa Lema na waziri wa mambo ya ndani kivuli kwenye kuwasilisha hotuba yake toka kambi ya upinzani aligusia mambo mengi ikiwepo rushwa ndani ya jeshi la polisi pamoja na mahakami lakini Lukuvi alipinga hoja zote za upinzani kuhusiana na hotuba ile akidai imejaa uchochezi, lakini leo hii tunaanza kuyaona kama haya kwa wakili wakujitegemea kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kama hiki ambacho hakilingani na kazi yake! je na huko mahakamani majaji na makarani account zao ziko vipi?????...! Tafakari.
 
Nadhani hii ombaomba ya viongozi wetu,ndio imepelekea Interpol kuingilia kati,inawezekana kabisa wanatuambia "fedha mnazo lakini ziko mikononi mwa wachache ngoja sasa tuzianike" huu ni mwanzo tu.
 
Kumbe haya mamlaka tumeyakabidhi Interpol, poor Tanzania !

Nadhani Kikwete na serikali yake wanatafuta pa kuanzia kwa Lowasa na Chenge kwa mtindo huo baada ya kuona PCCB na Polisi wa ndani ni watu wake na wanakosa weledi wa kadi
 
Mbunge wa Arusha mjini muheshimiwa Lema na waziri wa mambo ya ndani kivuli kwenye kuwasilisha hotuba yake toka kambi ya upinzani aligusia mambo mengi ikiwepo rushwa ndani ya jeshi la polisi pamoja na mahakami lakini Lukuvi alipinga hoja zote za upinzani kuhusiana na hotuba ile akidai imejaa uchochezi, lakini leo hii tunaanza kuyaona kama haya kwa wakili wakujitegemea kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kama hiki ambacho hakilingani na kazi yake! je na huko mahakamani mawakili na makarani account zao ziko vipi?????...! Tafakari.
Subiri utayasikia mengi wamemfukuza mshika fuko wakati alikuwa anajua dili zote unayoyaona ni cha mtoto wakati ukifika mtabaki midomo wazi.
 
Huwa sipendi vyakula vilivyotengwa juu ya meza napenda vyakula vilivyo chini ya meza!
 
Vyombo vyetu vya Usalama ni kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wadai haki tu, lakini pia kusaidia chama chama chamafisadi kuingia serikalini.
 
Back
Top Bottom