Interpol wanasa bilionea mwingine Arusha

I am not that credulous to accept anything coming my way. This thread is akin to Shimbo's story and will equally end up thrashed. We have a lot of sensitive and exigent issues requiring swift solutions, rather than engaging into discussing slanderous tales.
Usiwe mzembe kama kuku wa kisasa,habari za kukamatwa kwa huyo wakili ziko humu tangu mwanzoni mwa wiki hii sasa wewe unakumbuka ya shimboi tu kwakuwa imevuma sana. Jitahidi kuchakura usipende kutafuniwa kila kitu.
 
Wakuu mpo....jmani kazi ya vyombo vyetu vya usalama ni nn jmani!!!!!!!!!!hadi Interpol wanakuja kutufanyia kazi!!!!!!!
 
Kumbe haya mamlaka tumeyakabidhi Interpol, poor Tanzania !
Kama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.
 
I am not that credulous to accept anything coming my way. This thread is akin to Shimbo's story and will equally end up thrashed. We have a lot of sensitive and exigent issues requiring swift solutions, rather than engaging into discussing slanderous tales.

Remember, EPA tales emerged in JF and ended up in the perliament, and the rest was history. Please do not downplay this one as it may end up in the bunge just like EPA.
 
mimi nathani tufukuze poilisi wetu na tuajiri interpool....
Mbona kwenye maandamano ya CDM polisi wetu wako 'active' kinoma....mpaka wanakujaga na misamiati...sijui..taarifa za kiitelijinsia...Lakini inapokuja 'issue' ya kuhujumu uchumi ...si.. TAKUKURU..wala..TEETH...sory..TISS...wanaokuwa na hizo taarifa..kila kitu..Interpoll...Shame on You!!
 
AM ndiyo kinini mpaka aogopwe na serikali?
huyo wakili piga shaba afie mbali
 
Huwa natafakari sana sana juu ya uendeshwaji wa vyombo vetu vya usalama nachoka kabisa najikuta na maswali mengi bila majibu.
 
Hapa kuna some international schemes involved, kama siyo ring la wizi wa magari na biashara ya madawa ya kulevya sijui.

Huyu wakili anatumika katika "money laundering" ndiyo maana anatembea na kiasi kikubwa cha fedha halafu anasema ni kwa "matumizi madogo".

Interpol hawaji nchini kwako kwa mambo ya wizi wa ndani ya nchi unless umewaalika, na tunajua CCM haiwezi kuwaalika kwa sababu wezi wa kwanza ni vigogo wa CCM.
 
Hivi mnajua mkubwa wa Interpool hapa TZ ni nani?
 
Kwani kuna ukomo wa kumiliki pesa kwa mtanzaina?

Hakuna ukomo unachatakiwa kuonyesha hizo Billions! umezipataje kama kazi ya uwakili uwezi kupata pesa hizo ata upewe kazi ya kuatetea Arusha nzima.
Aonyeshe njia jinsi alivyozipata hizo pesa, huo ndio utaratibu duniani kote wanafanya hivyo
 
Huu ni mwanzo mwema kidogo. Hata mapapa wengine wangetakiwa wawe mkononi mwa sheria mpaka sasa.
 
Hapa kuna some international schemes involved, kama siyo ring la wizi wa magari na biashara ya madawa ya kulevya sijui.

Huyu wakili anatumika katika "money laundering" ndiyo maana anatembea na kiasi kikubwa cha fedha halafu anasema ni kwa "matumizi madogo".

Interpol hawaji nchini kwako kwa mambo ya wizi wa ndani ya nchi unless umewaalika, na tunajua CCM haiwezi kuwaalika kwa sababu wezi wa kwanza ni vigogo wa CCM.
Nakubaliana na wewe kuna ring fulani ya uhalifu wa kimataifa Interpol wanaifuatilia.
 
Kama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.
Mkuu, Interpol watawafichua, polisi na TISS watawalinda kwa gharama zoote! This Is Tanzania (TIT)
 
Poor CCM...mbona Chenge wamemwacha bila kumkamata, hata pale alipoua kesi ilinionekana ni kuendesha gari bila makosa, ila sio kuua! Poor CCM AND THEIR LEADERS..haya mambo yana mwisho...

Na hakika akina Mkono, Mkapa, Mizindakaya, Idd Simba, Masaburi, JK, Ridhiwan, Mgonja, Jairo, Mboma, Shimbo, Mahita, wana vijisenti zaidi ya hivi!

Kwanini Mashalla? Why Mashalla. Inawezakana alimsapoti Lema kwenye kampeni, akampiga chini Burian...likewise he supported Dr. Slaa and not JK..wakaamua kumfanyizia. Si unajua serikali ya JK ni ya visasi..
 
Back
Top Bottom