Internship or Volunteer on Environmental Agencies

Prince Habby

Member
Aug 19, 2016
28
8
Nawasalimu kwa ujumla wakubwa wangu wa JF heshima kwenu

Nahitaji msaada wenu, natafuta internship kweny mashirika yanayojihusisha na masuala ya mazingira, hata kufanya volunteering niko OK, lengo ni kuendeleza career yangu katika usimamizi wa Mazingira.
Natumai nimeeleweka Nahitaji msaada wenu katika hili
Kwa yeyote mweny ufaham na Mawazo karib sana
 
ANGALIA SONGAS,NA Total Tanzania
 
Unapatikana wapi?
Ni kwa nini usianzishe NGO ya mazingira hapo ulipo ili uungane na wengine waliokuzunguka hapo kurekebisha mazingira yenu?
 
Nipo Dar es salaam, kwa sasa uwezo huo sina, Nahitaji uzoefu kwanza, nisaidie kam itawezekana
 
Nawasalimu kwa ujumla wakubwa wangu wa JF heshima kwenu

Nahitaji msaada wenu, natafuta internship kweny mashirika yanayojihusisha na masuala ya mazingira, hata kufanya volunteering niko OK, lengo ni kuendeleza career yangu katika usimamizi wa Mazingira.
Natumai nimeeleweka Nahitaji msaada wenu katika hili
Kwa yeyote mweny ufaham na Mawazo karib sana
mmh!! sina hamu na hii course
 
Back
Top Bottom