Internet on blackberry

NAPSTAR

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
767
12
Naomba kuuliza hivi hamna njia nyingine ambayo unaweza kutumia internet kwenye blackberry bila ya kujiunga na package za internet
 
Mwenyewe ya kwangu ni Blackberry 7200 hata sehemu ya Internet siioni tafadhari mwenye uelewa wadau wangu
 
Mwenyewe ya kwangu ni Blackberry 7200 hata sehemu ya Internet siioni tafadhari mwenye uelewa wadau wangu

Ingia katika website ya opera na nenda sehemu ya mobile chagua aina ya simu yako na isave kwa cmputer hilo file. Then tumia desktop manager kuinstall hiyo soft ya opera kwa simu yako. Hapo utaweza surf kawaida tu. Na pia kuna third part applications kama whatsapp hazihitaj data plan kurun.
 
Ukienda Options >> Advanced Options >> TCP unaona nini?
 
Kwa kifupi BB sio simu nzuri, architecture yao imepitwa na wakati, usipokuwa na data plan kuna vitu vingi vinaacha kufanya kazi BBM etc, browser mpaka uset service book, yaani :frusty:
Ni bora ununue simu ya Android au iPhone ambayo uko huru kufanya utakalo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom