Internet download manager(IDM) isiyohitaji key miaka 100 hii hapa

Hamna IDM v7 hiyo ni watu wanachezea akili za watu...haichukui Utube wala nn
Kwanza anti-virus yangu imenipa warning that this thing ni Malware, nikaignore nikijua itafanya kazi kumbe ni useless!! We mtoa mada hii software hujawahi kuitumia i bet, kama unayo unatumia weka screen shots hapa cuz it doesn't work!!
 
4real ina work vizuri tu,naitumia kila siku.kuhusu kui enable inatakiwa udownload extension nyingne toka katika forums mbalimbali(search google=idmcc extension) ambayo unaingiza manual katika mozilla.kisha unai restart mozzila yako mzigo unaendelea.
nb; kumbuka hii sio version official ya idm ila kuna jamaa wamei develop kwan hata ukiangalia icon yake sio ile mliozoea
 
kumbe sio idm...
 
Back
Top Bottom