Refa anashangaza kweli.....Alikuwa hataki Mwasyika aingie......Anaogopa kulambwa ngumi(joke).....lol!huyu refa vipi mbona haeleweki.?
Fred Felix Majeshi Kataraia Minziro a.k.a Baba Issaya huyo......Huyu bana ni zaidi ya kochachuji nani kamfufua huwezi amini kama alikua teja.! Hongera sana chuji.
Yanga wamefanya mabadiliko
Wametoka Nizar Khalfan, Oscar Joshua na Kelvin Yondani wameingia Shamte Ally, Ladislaus Mbogo na Stephano Mwasyika...
Maajabu,Refa hataki Mwasyika aingie....lol!
Tarehe 14 July,2012Kagame inaanza lini Jamani,naona kama inachelewa.
mkuu hilo shuti la chuji vipi.?Yanga tunakoswakoswa......
Umeona eeeh......Kwa kweli Chuji katulia sana leo....What a comebackchuji=xavi kwa leo hana mpinzani