Umeona eeeh......Kwa kweli Chuji katulia sana leo....What a comeback
supersport wataonesha?
Umeona eeeh......Kwa kweli Chuji katulia sana leo....What a comeback
Yap....Mashindano ya Kagame yataoneshwa na Supersportsupersport wataonesha?
Ngapi mpaka sasa
mkuu hilo shuti la chuji vipi.?Yanga tunakoswakoswa......
Yanga 2-1 ExpressNgapi ngapi matokeo??
Wa uwanjan coz haioneshwiyanga wanagongea vizuri sana inampa burudani mtazamaji.
Pengo la Yondani linaonekana mkuu...Huyu Ladislaus Mbogo bado hajatulia kivileDeffence vp tena mpaka hawa wanapata Goli?
Ni kipa wa ukwel xana aseeYanga tunashambuliwa sasa.......
Barthez anacheza vizuri kabisa