Intermarriages between Kenyans and tanzanians; is there any official Statistics for this??

Kenya kuna wanawake kweli? K zao sio tamu then sio mafundi na hawajui kukatika kitandani.

Mamangu ni mwanamke wa Kikenya, it really feels bad when a supposedly grown, intelligent man (highly doubts this) trashes all the women from another country, I love women, and you will NEVER find me trash talking women from Tanzania. your chauvinism and backwardness are easily shown from this post, I honestly feel sorry for your children.
Judging from your name I can tell its been a while since you got laid, I'd propose you rub one out before you go to sleep tonight, it will calm you down, trust me.
 
Mke wangu wa pili ni MJALUO mkenya; beuatiful full black; have two kids, sijaona tatizo lolote; kwao kisumu matatizo mengi sana ya kijamii; barabara, maji na land for farming.

It is good to establish the statistics it might be another reason for integration.
 
nilimuona yule mwanamke muuza chan'gaa kwenye documentary ya mungiki niliwaogopa wakenya japokuwa napenda mwanamke anaeweza simama mwenyewe na sio kudekadeka kama wabongo. hata hivyo one day ntakuja kuwacheki wakina wanjiku
 
Kenya kuna wanawake kweli? K zao sio tamu then sio mafundi na hawajui kukatika kitandani.[/QUOTE

Kwa wanaume wa kitanzania nimegundua hata kufikiri kwenu ni kudogo. Hivi kwa karne hii kuna mtu anayeooa wakata viuno? Wakenya watatuongoza kwa kila kitu. Hii issue ya EAC mmeikubali hapa ndiyo tutajua ma great thinkers, wakata viuno, wauza sura, watetea hoja.
 
kuna baba mdogo wangu aliwahi kusafiri dar siku moja halafu huko akapata binti mrembo sana kwa hoteli alipokua anakaa. basi huyo binti kweli akammind ba mdogo sana usiku moja akaja chumba chake akamwomba amgurumishe kwani eti bwanake alikuwa amemnyima kwa siku nyingi. basi ba mdogo ikabidi atekeleze kazi vizuri usiku mzima. asubuhi kufika huyo binti akamwambia asante sana na mungu ambariki. ba mdogo alishangaa kweli kwani nairobi huwezi bahatika hivyo
 
Do you think here in JF we buy this cheap story!!........am not a mediocre in night circus.
 
Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.
 
Do you think here in JF we buy this cheap story!!........am not a mediocre in night circus.

kama uniamini naweza kupa nambari ya ba mdogo umpigie simu. ni kweli kwani ba mdogo hana uwongo na alitaka kusafiri tena huko dar lakini tukamwonya
 
the first time i saw this thread i was like what the H*** is cooking in JF but now i get it. The theme is EAC, the soup is about love n who loves better vis a vis the neiba, and the spice whom the ladies love and dig the most....hmmmmh, really interesting. Ebu na udaku uendelee....i am better suited to watch...aside: Cant help but notice some really fine & smart ladies within the premises.
 
kwa sasa rate imepanda kwa sababu ya EAC
wakenya wanatafuta entry pass ya kuweza kununua ardhi tz asi unajua kwao kenya kumejaa?

then kwa wanaume wa kenya wanadai WANAWAKE WA TZ WANA SIFA ZA KIKE n so good to marry tofauti na wasichana wao wa kenya...wanaojifanya kujua haki zaidi ya haki yenyewe...

Nadhani ni ulembukeni tuu wa sisi miafrika kwamba "nimeoa nje ya nchi".........lol
 
Mkibishana namna hii bila ya kutukanana, ni afadhali. Wabongo na Wakenya ni kama Watani vile..
 
Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.
Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?
 
si ndio matunda ya EAC, watapataje ardhi bila kuoa au kuolewa na watz.

Strategic positioning tu.
 
Ni wakenye wachache wenye mapenzi na mtanzania yeyote. I have been to Kenya for a while, I know them. Hapa wanataka ndoa kwa kuwa wanataka ARDHI and all other benefits associated to the EAC especially employment benefits. Kenyans are gold diggers na akina dada zetu wawe makini maana kule kwa ni lazima awe na mke. Believe me!!! Opportunists!!
 
wakenya haijalishi ni wanaume au wanawake wana roho mbaya.....hawafai kuoa na zaidi hawafai kuolewa nao.....nawahurumia wanawake wanaoolewa na mijanaume ya kenya.........nimeshuhudia 3 ndoa zao zimevunjika, wamerudi bongo kuendesha maisha.......
 
(caughing)...
kwa kweli sifa kubwa ya wanawake wa Kenya ni assertiveness,
Sio politeness. Na alie waharibia picha ni Mama Lucy Kibaki...
Anyway, I don't like generalities. I have lived in Kenya
and all women I interacted with were quite nice to me.
Umesikia kisa cha wanawake wa Nyeri wakiwatwanga magumi madume zao?
Don't go to Nyeri for a wife!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom