BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Kumbe ndo majina mnayo tuita?
Mi nikisikia haki ya nani nampa za mashavu.
Huwezi kujua mkuu kama unaitwa hivyo. Labda huyo mana mama asiwe makini!
Ila mkiheshimiana hamtainana majina kama hayo tena kwa watu wengine..