BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
BJ,
Huyu uncle ni mtu kweli.Japokuwa ana harakati..hajasahau nafasi ya mke na heshima yake.
True kabisa,yaani mkewe hana hata chembe ya kuhisi jamaa anacheat. Nadhani pia ni kwasababu wana safari ndefu ndo kwanza wana 2 years of marriage. Ila after work uncle yupo home on time na anajali family kwenda mbele kiasi kwamba wife anaridhika na treatment ya mumewe..Ila duniani kuna vijimambo we acha tu,unaweza kuwa unakula na kipofu hujijui.
Bottom line: Alteast kujilinda na heshima vibaki ndani ya ndoa hata kama mmoja wa wanandoa amepata kipoozeo nje.