Ingekuwa wewe ungefanyaje kiukweli?

madereva taxi kwa umalaya.......hapo hata simuonei huruma...

kula uliwe
 
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ni dereva tax, mteja mmoja ambaye wamezoeana sana na mara nyingi huwa anatumia tax yake kumpeleka sehemu mbalimbali alimpigia simu jioni giza ndo linaanza kwamba amfuatie nyumba ndogo yake kisha amlete guest fulani. Jamaa alipokwenda kumfuata ghafla kumbe ni mke wake!!!!!!!!!! yule mwanamke akaingia kwenye tax haraka sana ili majirani wasimuone. Akiwa hajui kabisa kama yuko kwenye tax ya mume wake, mume akageuka na kumuuliza yule mke wake unaenda wapi, mwanamke baada ya kuona ni mume wake nusura ajirushe nje, ikawa patashika nguo kuchanika!Ingekuwa wewe ungefanyaje kiukweli kabisa?

Ingekua mimi nisingemuuliza unakwenda wapi, ningefuata maagizo ya mteja wangu ningempeleka mpaka guest bila kumuuliza then nikisha mfikisha ndo wangenieleza vizuri wote wawili.
 
nampeleka kwa aliyetufungisha ndoa na kumwambia aifungue hiyo ndoa haraka then nampeleka kwa boss akiwa tayari sio mke wangu
 
Back
Top Bottom