Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 77
Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie maana yeye kaka yake anakaa kule hivyo atanipokea. Nikafurahi maana sikujua pa kuanzia ukichukulia ni muda mrefu umepita.
Siku ya safari ilipofika nikamwambia mshkaji basi naye akampigia simu bro wake na kumpa namba zangu, basi bro wake naye akanigongea kuwa nipo nakusubiri.
Nilipofika kweli jamaa alikuja nipokea akiwa ameongozana na demu wake. Akanipeleka hadi home kwake ambapo kuna chumba kimoja na sebule. Lakini yule demu wake alikua anakaa kwa wazazi wake.
Jioni tukaenda ofisini kwa jamaa, baadae akaje msichana mmoja alikua na umri kama wa miaka 18 mpaka 20 hivi. Sikua nimefahamu mpaka tulipofika nyumbani jioni nikamuona yeye ndio mpishi na kugundua kuwa anasoma kidato cha 4. Baada ya kula nikawa nawaza sasa huyu binti atalala wapi? Baadae sisi tukaingia chumbani na yule binti akalala pale sebuleni kwenye sofa.
Siku ya pili nikazunguka zunguka, baadae binti akanipigia simu kuwa kaka yake amemuagiza kuwa nimsindikize sokoni, nikaenda nae sokoni. Usiku wa siku ya 2 jamaa aliingia chumbani kulala, hivyo tukabaki na yule binti tukiangalia TV na huku tukipiga story hadi saa 7 usiku nikaingia chumbani kulala.
Siku iliyofuata tukaenda kutembea tembea huku tukizungumza mawili matatu. Usiku ulipofika nikawaaga kabisa jamani leo nitawahi kulala, maana kesho narudi dar. basi yule binti akanitumia sms "tafadhali usiwahi kwenda kulala I have something special for you". Nikaisoma na kuuchuna, baadae jamaa akaenda kulala kama kawaida yake, mimi nikabaki kuona hiyo special ni nini? tukawa tunaangalia move huku tumekaa kochi moja, lakini nikaona hakuna special yoyote mbona yupo kimya? Baadae nikamtekenya kwa kidole changu cha mguu, nikaona anarepond, hatimaye nikamkumbatia, tukaanza kucheza, hapo kumbuka kaka yake amlala chumbani.
Baadae tulipozidiwa tukaduu pale pale sebuleni kwenye kochi, huku nikiwa naenda kuchungulia mlangoni kupitia uwazi wa mlango kama jamaa kalala au anatuchora. Baada ya kumaliza nikaenda kulala. Siku ya kuondoka binti hataki niondoke, nikafikiria na kuwaza kuwa huyu binti anataka kuniletea balaa, huyu kaka yake akishtukia si itakua balaa, na angejua tu maana dogo alikwishachanganyikiwa na lile penzi la wizi. Nikafosi kuondoka kwa kujua jamaa akishtukia mchezo atanikata mapanga si unajua tena watu wenyewe wanyalu, na pia ingekua noma kwa mshikaji wangu dar akijua kuwa nilimmega dada yake.
Sasa ndugu kama ungekua wewe na situation hiyo ungefanyaje? Na huyu binti anataka kumwambia kaka yake kuwa mimi ndio boyfriend wake, sasa hawa jamaa wataonielewa kweli na dada yao ndio hasikii la mnadi swala wala la mwazini. nishaurini jamani