Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

Mkuu achana na huyu binti kumbe yupo Moro sec!@! we achana nae anaweza kwenda kuuza Kaumba pale alafu ukauziwa kesi mkuu si bado mnawasiliana nae....
 
"Kuwa na Mashori wengi si kipimo cha Urijali, kama mwanaume wa kweli, nyumbani wapate Ugali"-Gudboy

Signature ya Gudboy imetulia kweli.
ni kweli mimi sina mashori kaka signature inavyoonekana, siku zote natafuta maisha kwa ajilki ya familia yangu, ile bahati mbaya tu mazee
 
unajua ndugu hiyo ilikuwa mwaka jana mwezi wa 4, na amekwishamaliza kidato cha 4 na sasa anasoma cha 5. Halafu hujasema kama ungekua wewe ungefanya nini ikiwa ni dada wa rafiki yako. Thanx

Ningekuwa mimi nisingeondoka. Ningeendelea kumega mpaka kieleweke.
 
Hii story Siikweli umejaribu kutumia tu akili ya kuzaliwa lakini maelezo hayafanani na hisia za tendo hilo
 
Hapa hakuna wakukushauri mtu kama wewe,nyie ndio mijitu mnaopataga miukimwi alafu mnasingizia mmerogwa,solution mnakimbilia kanisani,sasa kwa mtindo huo unafikiri utaepuka vipi ngoma?Wewe hufai kuitwa rafiki na mtu yeyote,unafadhiliwa na huthamini fadhila,je huyo kaka yake angekufuma ungemdanganya nini,au ndio gia zenu za kujidai ulikuwa unampiga tuit?Sasa tudanganye kama ulitumia kinga,au kwakuwa mwanafunzi ndio unajua mzima?Jiheshimu we kahaba la kiume!!!
 
gud boy una mke?
hapana ndio kwanza nimemaliza chuo, naangalia kwanza maisha then hayo mengine nitarekebisha baadae, maana sitaki familia yangu ipate tabu si unajua tena maisha ya sasa
 
Hii story Siikweli umejaribu kutumia tu akili ya kuzaliwa lakini maelezo hayafanani na hisia za tendo hilo
kama hutaki sikulazimishi lakini ukweli ndio huo, kwa ushahidi hata juzi kanitumia sms inasema hivi "I miss you so much ma love, nipo bed nawaza siku ile kwa bro mafinga, nce nte, still lv u" ukitaka ushahidi zaidi nityafute nitakupeleka ukamuoji mwenyewe kaka
 
Hapa hakuna wakukushauri mtu kama wewe,nyie ndio mijitu mnaopataga miukimwi alafu mnasingizia mmerogwa,solution mnakimbilia kanisani,sasa kwa mtindo huo unafikiri utaepuka vipi ngoma?Wewe hufai kuitwa rafiki na mtu yeyote,unafadhiliwa na huthamini fadhila,je huyo kaka yake angekufuma ungemdanganya nini,au ndio gia zenu za kujidai ulikuwa unampiga tuit?Sasa tudanganye kama ulitumia kinga,au kwakuwa mwanafunzi ndio unajua mzima?Jiheshimu we kahaba la kiume!!!
dah mkubwa tusishutumiane, haya mambo hutokea kwa kijana au mwanaume yeyote, ila kwa kuwa nimeona ni kosa ndio maana nikaona niliweke wazi na pia najuta makosa niliyoyfanya, kwa hiyo sio kutumia abusive language wakati unamshauri mtu, maadam hakuna baya liliojitokeza wala hakuna negative effects kwenye tulichofanya sina budi kuyaepuka ndugu, mimi ni binadamu na sio malaika
 
Inamaana huoni negative effects katika uovu huo? Kweli wewe ni balaa !!
 
ni kweli mimi sina mashori kaka signature inavyoonekana, siku zote natafuta maisha kwa ajilki ya familia yangu, ile bahati mbaya tu mazee[/QUOTE]

bahati mbaya kweli au ndio ilikuwa "bahati nzuri" ingekuwa bahati mbaya ungegandiana nayo hadi leo?

yaani unachofanya hapo ni kuchafua tu, ukitaka kuwa godboy kweli, jitambulishe kwao... weka mambo wazi... ngono weka pembeni... mwache mtoto asome kwa raha zake kama wewe ulivyosoma...akimaliza chukua mzigo wako...
kama huna mpango nae au hauna uhakika, mwache na hamsini zake usiendelee kumpotezea mda wake.
 
Mmh badha kaka huo wala si mtego bali umejitega mwenyewe. Yaani kumuona siku mbili tu binti wa watu ukajimwaga naye! Na hilo lililofanyika lilifanyika katika mazingira salama au ndio kwa haraka zenu/zako na kuogopa kukutwa mkasahau usalama wenu? Kwa kweli sina hata cha kushauri zaidi ya kushangaa! Ila kaka kwa spidi hiyo, hatari iko mbele!
 
hapana ndio kwanza nimemaliza chuo, naangalia kwanza maisha then hayo mengine nitarekebisha baadae, maana sitaki familia yangu ipate tabu si unajua tena maisha ya sasa

Ila familia za wenzio ndio unapenda zipate taabu sio? Kwanini sasa uendelee kumfuatilia dada wa watu ili hali unajua bado ni mwanafunzi? Umemfuata Mafinga, wakamleta moro kusoma bado unae tu na sim wampigia? Kama kweli wapenda familia za watu zisiwe kwenye taabu basi mwache dada wa watu asome ili nae amalize chuo kama wewe halafu aangalie maisha yake from there. Kuna mtu humu JF signature yake inasema ficha upumbavu wako usifiche werevu wako.
 
Aisee hongera sana Gudbway, hizi spring chicken ni any man's dream!!! ukitaka kabao kaboja unajikuta umepiga viwili!!! Na mimi binafsi najua utamu wa hayo mabao ya offside, unapiga huku una ile hofu kwamba mtu anaweza tokea, asikuambie mtu bana!!!
Sasa cha kufanya mdogo wangu, changa changa mpunga afu uialike hiyo ngoma Bongo au uzuke Moro ukachukue hoteli iliyoenda shule upate kuila kwa nafasi- cha msingi ni ku make sure unatumia daluga ili usijemtia mimba na kumvurugia masomo yake, tafuta weekend ukampunguzie mwenzio stress, goodluck!
 
Hapa mwana uliharibu sana na inaonesha ulimega peku hata haukuvaa viatu kwenye hiyo game kwa vile inaonesha haukutegemea kuwa itatokea.
Kama siku nyingine uwe na subira kidogo mkuu.
 
Hapa mwana uliharibu sana na inaonesha ulimega peku hata haukuvaa viatu kwenye hiyo game kwa vile inaonesha haukutegemea kuwa itatokea.
Kama siku nyingine uwe na subira kidogo mkuu.
thanx sana kaka kwa ushauri mzuri
 
Nilikua na plan ya kwenda Mafinga huko mkoani Iringa baada ya miaka 10 kupita toka nilipohama. Kitaa kuna jamaa ambaye naye anatokea huko, katika kupiga story akaniambia ukitaka kwenda niambie maana yeye kaka yake anakaa kule hivyo atanipokea. Nikafurahi maana sikujua pa kuanzia ukichukulia ni muda mrefu umepita.

Siku ya safari ilipofika nikamwambia mshkaji basi naye akampigia simu bro wake na kumpa namba zangu, basi bro wake naye akanigongea kuwa nipo nakusubiri.

Nilipofika kweli jamaa alikuja nipokea akiwa ameongozana na demu wake. Akanipeleka hadi home kwake ambapo kuna chumba kimoja na sebule. Lakini yule demu wake alikua anakaa kwa wazazi wake.

Jioni tukaenda ofisini kwa jamaa, baadae akaje msichana mmoja alikua na umri kama wa miaka 18 mpaka 20 hivi. Sikua nimefahamu mpaka tulipofika nyumbani jioni nikamuona yeye ndio mpishi na kugundua kuwa anasoma kidato cha 4. Baada ya kula nikawa nawaza sasa huyu binti atalala wapi? Baadae sisi tukaingia chumbani na yule binti akalala pale sebuleni kwenye sofa.

Siku ya pili nikazunguka zunguka, baadae binti akanipigia simu kuwa kaka yake amemuagiza kuwa nimsindikize sokoni, nikaenda nae sokoni. Usiku wa siku ya 2 jamaa aliingia chumbani kulala, hivyo tukabaki na yule binti tukiangalia TV na huku tukipiga story hadi saa 7 usiku nikaingia chumbani kulala.

Siku iliyofuata tukaenda kutembea tembea huku tukizungumza mawili matatu. Usiku ulipofika nikawaaga kabisa jamani leo nitawahi kulala, maana kesho narudi dar. basi yule binti akanitumia sms "tafadhali usiwahi kwenda kulala I have something special for you". Nikaisoma na kuuchuna, baadae jamaa akaenda kulala kama kawaida yake, mimi nikabaki kuona hiyo special ni nini? tukawa tunaangalia move huku tumekaa kochi moja, lakini nikaona hakuna special yoyote mbona yupo kimya? Baadae nikamtekenya kwa kidole changu cha mguu, nikaona anarepond, hatimaye nikamkumbatia, tukaanza kucheza, hapo kumbuka kaka yake amlala chumbani.

Baadae tulipozidiwa tukaduu pale pale sebuleni kwenye kochi, huku nikiwa naenda kuchungulia mlangoni kupitia uwazi wa mlango kama jamaa kalala au anatuchora. Baada ya kumaliza nikaenda kulala. Siku ya kuondoka binti hataki niondoke, nikafikiria na kuwaza kuwa huyu binti anataka kuniletea balaa, huyu kaka yake akishtukia si itakua balaa, na angejua tu maana dogo alikwishachanganyikiwa na lile penzi la wizi. Nikafosi kuondoka kwa kujua jamaa akishtukia mchezo atanikata mapanga si unajua tena watu wenyewe wanyalu, na pia ingekua noma kwa mshikaji wangu dar akijua kuwa nilimmega dada yake.

Sasa ndugu kama ungekua wewe na situation hiyo ungefanyaje? Na huyu binti anataka kumwambia kaka yake kuwa mimi ndio boyfriend wake, sasa hawa jamaa wataonielewa kweli na dada yao ndio hasikii la mnadi swala wala la mwazini. nishaurini jamani
mwanaharamu wewe mim nikijua unanifanyia uswaini getoni kwangu na ku-do wewe sasa!IDIOT FELLOW
 
kwanza mimi nisinge mchapa huyo mtoto. then wewe usiwe weak kihivyo mtoto wakiume zingatia mausiano mema na refiki zako coz hauoni kama wamekubeba sana kukupa hifadhi hiyo ndo faida yao au???? kama ni hyo utaduuu na wengi cz mjini hapa si ndo watoto balaaaaaa
 
Ngoja nimtafute huyo binti Moro sec najua nitampata tu alafu naorganize ufunguliwe mashtaka ya kumega kinguvu huyu binti naweza sema ulimbaka alafu tunapima virusi wote wawili akibainika anavyo basi itabidi uozee jela tu maana hakuna haja ya kusikiliza kesi umesha mwaribia maisha huyu binti.
 
...Mh mbona umepatwa na uchungu wa ghafla baada ya kupewa hizo details? au we ndo kakamtu? Pole swity
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom