Information Technology vs Computer Science

ushahd

Senior Member
Jul 30, 2019
180
101
Salaam ndugu zangu,

Samahani naomba kuuliza kati ya IT na Computer science ipi course yenye fursa hasa kwa upande wa kujiajiri
 
Salaam ndugu zangu,

Samahani naomba kuuliza kati ya IT na Computer science ipi course yenye fursa hasa kwa upande wa kujiajiri
Zote.

Ila kasome Computer Science.

Cha muhimu hakikisha ukimaliza uwe na kitu kichwani sio umemaliza hujui hata kuandika mstari mmoja wa code.

NB: kama wewe ni mvivu wa kujisomea usinde huko. Hizo kozi hata ukimaliza chuo lazima uendelee kujisomea.
 
Zote.

Ila kasome Computer Science.

Cha muhimu hakikisha ukimaliza uwe na kitu kichwani sio unsmsliza hujui hata kuandika mstari mmoja wa code.

NB: kama wewe ni mvivu wa kujisomea usie huko. Hizo kozi hata ukimaliza chuo lazima uendelee kujisomea.
Thanks kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom