Infi muwashukuru sana

sasa Maty kama kweli umestaafu hayo mambo ungeileta hii thred humu jamvini?au ndo umeninyima hiyo tenda

Kwani ukistaafu ndio hata uzungumzii? uhuru wa kuongea
 
Sasa mety una maana kwa wale wasokunywa ma valuu na nyagi hawawezi? Em mashost ambao majamaa zenu hawapigi hi ki2 2peni ukweli bana!
 
Pole mama kwa kukutana na majoka ya kibisa, jaribu kuja kipande hii uone jinsi watu tunavyolima bila kutumia hizo mbolea za viwandani.
 
Back
Top Bottom