Infi muwashukuru sana

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?
 
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?

kwani valuu na konyagi zinasaidia nini Maty?
 
hahahah maty jaman nawewe ..kwa kuwat....kichini chin wenzako mi sipend ahh sasa jaman asi ndo ivo tena kwa msaada wa valuu na konyaaa ndo wanajifanya wanajua sana kusimamia ....ni kwa hisani ya konyaaaaaaaaaaaaaaaaa si alisi wala asili.......aujanielewa?utanielewa kesho.
bt thaxxxxxxx matty kwa kuwaambia ukweli that bila valuu na konyaaa wasingeweza kupekua pekua libraly zooote na kusoma vtabu vyote usiku na mchana.....hahah ahaha ahah!!!!!!!!!!!
jinsia me oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Kama valuu na nyagi zinawasaidia kina sie....na huo msaada unakua extended kwenu....sasa si itakua sahihi kusema valuu+nyagi zinawasaidia nyie?
 
Hongera maty, jamaa lililokumega jana lilikunywa valuu ngapi?
 
Hii ni dalili tosha kuwa maty hii kitu unahitaji sana ikianzia kwetu at the end of the day tunai supply kwenu, hebu tupe experience ya mtu uliyekutana nae kapiga hiyo cocktail
 
Hii ni dalili tosha kuwa maty hii kitu unahitaji sana ikianzia kwetu at the end of the day tunai supply kwenu, hebu tupe experience ya mtu uliyekutana nae kapiga hiyo cocktail

Mi nimeuliza tu swali sijawahi kutana na huyo mtu aliyepiga hiyo kitu. Nyinyi wenyewe huwa mnajitapa humu kwamba mkikutana na viburudisho lazima mgonge kwanza ze valuu kazaa ndio nikahic ndio inayowatia jeuri
 
Mwe we asipirini me sijamegwa nina mwaka sasa nimeokoka

Nani kakwambia kuwa kumegwa ni dhambi Maty?Anyway, kama ni mwaka sasa bado kumegwa basi nadhani itakuwa taarifa muhimu sana akiipata mpwa Finest!
 
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?

Mh mbona sisi wengine hivyo unavyovisema hatunywi kabisa???? na hatujasikia kelele au maswali juu ya performance!!!! Nahisi ni baadhi ya fikra tu !
 
kama hujamegwa kwa nini umewasemea wenzio bila valuu na nyagi hawawezi kusimamia. unajua ki afya ukishaanza kuwa na hisia kwamba bila kitu hiki hakiwezifanyika ujue ni ugonjwa na ulemavu wa hatari. for the rest of your life bila kutumia hizo kazi hazifanyiki.

Matt huyo mwenzako kama lazima atumie hizo ndiyo afanye kazi basi mpeleke hospitali. what if hakuna no kazi at all!
 
Nani kakwambia kuwa kumegwa ni dhambi Maty?Anyway, kama ni mwaka sasa bado kumegwa basi nadhani itakuwa taarifa muhimu sana akiipata mpwa Finest!

Tumeishanote angalizo lake alilolitoa tutaliwasilisha kwenye kikao ili tuweke mambo sawa
 
Mh mbona sisi wengine hivyo unavyovisema hatunywi kabisa???? na hatujasikia kelele au maswali juu ya performance!!!! Nahisi ni baadhi ya fikra tu !

mawili
1. Wewe sio infi na una mpenzi mmoja tu
2. Lazima uko under 25

Kama huna hayo lazima uihitaji hiyo kitu ikusaidie kuleta heshima
 
Mwaka? mbona valuu ilikuwa bado? Ulijuaje sasa? Au unadokoa na baba mchungaji?

Lo nimecheka sana kwa hii. kama valuu haikuwepo konyagi nayo? Sidokoi na baba mchungaji mwaya ila nilivyokuwa nafanyaga na mimi nilikuwa navizia akienda ****** naagiza kagilasi nachanganyia kwenye karedisi kangu tukiingia huko ngoma duroo hasa kwa yule wa siku ya kwanza ili kuleta heshima
 
kama hujamegwa kwa nini umewasemea wenzio bila valuu na nyagi hawawezi kusimamia. unajua ki afya ukishaanza kuwa na hisia kwamba bila kitu hiki hakiwezifanyika ujue ni ugonjwa na ulemavu wa hatari. for the rest of your life bila kutumia hizo kazi hazifanyiki.

Matt huyo mwenzako kama lazima atumie hizo ndiyo afanye kazi basi mpeleke hospitali. what if hakuna no kazi at all!

Nasemea hii kwa mainfi kwani mimi naamini watu huwa hawapendi kufanya infi ila wanalazimika kwa sababu wako katika chama so hii huwa inasaidiaga kuweka akili sawa hata kama hujisikii
 
Back
Top Bottom