Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,250
22,320
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku.

Nikapokea simu ya ndugu mmoja wa kwenye ukoo akionyesha kukerwa mno kwa kinachoendelea kwenye maandalizi ya sherehe ya Sendoff ya dada yetu fulani kwenye ukoo.

Ni kwamba kabla dada hajapata mpenzi wake anayetarajia kufunga nae ndoa alikuwa na mpenzi wake ambaye kwa bahati mbaya ni mume wa mtu na kuoana nae ni ngumu.

Kinachoendelea ni kwamba huyu mpenzi wa mwanzo (mume wa mtu) yumo kwenye kamati ya sendoff na anashiriki kikamilifu. Yaani ni kiherehere plus. Kinachoshangaza anaendelea kutafuna demu huku pia akiunga mkono kwenda kuolewa.

Mimi nimepigwa na mshangao na kujiuliza maswali mengi mno. Sioni bright future kwa hii ndoa kabisa kwa kinachoendelea. Ninyi WANA-JF mlishawahi kukutana na hii hali? Mlifanyaje?
 
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku.

Nikapokea simu ya ndugu mmoja wa kwenye ukoo akionyesha kukerwa mno kwa kinachoendelea kwenye maandalizi ya sherehe ya Sendoff ya dada yetu fulani kwenye ukoo. Ni kwamba kabla dada hajapata mpenzi wake anayetarajia kufunga nae ndoa alikuwa na mpenzi wake ambaye kwa bahati mbaya ni mume wa mtu na kuoana nae ni ngumu. Kinachoendelea ni kwamba huyu mpenzi wa mwanzo (mume wa mtu) yumo kwenye kamati ya sendoff na anashiriki kikamilifu. Yaani ni kiherehere plus. Kinachoshangaza anaendelea kutafuna demu huku pia akiunga mkono kwenda kuolewa.

Heri ya mwaka mpya mama S
 
Mkuu katika utafiti usio rasmi ni kuwa kila sherehe ya harusi uliyowahi kuhudhuria huwa kuna aidha X wa Bibi harusi au X wa Bwana harusi au X wa pande zote huwa wanakuwepo kwenye harusi.
Tunaishi kwenye jamii ambayo imepoteza maana ya ndoa, na hivyo ndoa imeonekana ni kama stara tu lakini ile maana halisi imepotea.
Kwahiyo simshangai huyo jamaa, kinachofanyika hapo anapambania mpenzi wake na yeye apate stara (jamii imuone na yeye yupo kwenye ndoa) huku nyuma ya pazia jamaa anaendelea kufaidi mema ya nchi.
Na haya mambo huenda mbali zaidi hata kufikia baadhi ya wanandugu huwa wanajua ya kuwa ndugu yetu ameolewa au amemuoa fulani lakini bado anaendelea kuunganisha via vya uzazi na zilipendwa wake.
Sishangai wanaopigia chapuo vijana wakatae ndoa kwakuwa tunaishi kwenye jamii inahitaji zaidi harusi kuliko ndoa.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu binafsi sina tatizo na X kuhudhuria harusi ya aliyekua mtu wake kama walishaachana. Mimi na jamaa mwingine ambaye tulishawahi kuwa wapenzi wa mdada flani mjini Dar tulichangia shughuli yake na kuhudhuria kiroho safi. Na hadi leo miaka kadhaa yule demu yuko poa na ndoa yake. Tatizo ni ile mtu anaolewa bado anaendelea kuliwa na X
 
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku.

Nikapokea simu ya ndugu mmoja wa kwenye ukoo akionyesha kukerwa mno kwa kinachoendelea kwenye maandalizi ya sherehe ya Sendoff ya dada yetu fulani kwenye ukoo. Ni kwamba kabla dada hajapata mpenzi wake anayetarajia kufunga nae ndoa alikuwa na mpenzi wake ambaye kwa bahati mbaya ni mume wa mtu na kuoana nae ni ngumu. Kinachoendelea ni kwamba huyu mpenzi wa mwanzo (mume wa mtu) yumo kwenye kamati ya sendoff na anashiriki kikamilifu. Yaani ni kiherehere plus. Kinachoshangaza anaendelea kutafuna demu huku pia akiunga mkono kwenda kuolewa.

Mimi nimepigwa na mshangao na kujiuliza maswali mengi mno. Sioni bright future kwa hii ndoa kabisa kwa kinachoendelea. Ninyi WANA-JF mlishawahi kukutana na hii hali? Mlifanyaje?
Wengine wanamchangia bwana harusi kuliko ujuavyo hatari sana, tena usiombe abebeshwe hadi Mimba.
 
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku.
Kwa hii parah inaonekana ukoo mzima mna tabia kama za dada yenu so anachokifanya yeye anawawakilisha vizuri kwenye upande wa familia wewe unawakilisha upande wa siasa
 
Wengine wanamchangia bwana harusi kuliko ujuavyo hatari sana, tena usiombe abebeshwe hadi Mimba.
😄😄😄 hii ya kubebeshwa mimba umenikumbusha stori kuna mzee wangu mmoja enzi za ujana wao walikuwa wakiozeshwa na wazazi wao. Sasa baba mtu akaenda kumwozesha mwanae mwanamke mwenye mimba ya miezi minne. Hadi yule mzee kafariki nilisahau kumwambia ile mimba ilikuwa ya nani kwa mujibu wa baba yake?
 
Kwa hii parah inaonekana ukoo mzima mna tabia kama za dada yenu so anachokifanya yeye anawawakilisha vizuri kwenye upande wa familia wewe unawakilisha upande wa siasa
Atudokeze kabila tutamaliza yote bila kuhangaika
 
Wakati ukiwa mwanakamati ulikuwa unaendelea kutafuna?
Ndio Mkuu!Tena bado wiki moja ya harusi kaflash ujauzito wangu.Mungu anirehemu nimetubia.Bibi harusi na Bwana harusi kutoka kule ilikoanguka precision.
 
Kwa hii parah inaonekana ukoo mzima mna tabia kama za dada yenu so anachokifanya yeye anawawakilisha vizuri kwenye upande wa familia wewe unawakilisha upande wa siasa
Saint Anno umekuja kuwaje aisee? Mbona enzi za ujauzito wako ulikuwa mtulivu?
 
Back
Top Bottom