Janken jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,125
- 1,178
Russia hawja hack email clinton siasa ni mchezo mchafu.subilWangekua wakali wasingeruhusu cyber attacks kutoka russia
Russia hawja hack email clinton siasa ni mchezo mchafu.subilWangekua wakali wasingeruhusu cyber attacks kutoka russia
Acha porojo Mkuu. Yaani katika obstacles zoote ulizozifikiria umeona lugha ndio issue? Yaani US washindwe kuwa-hack Russia kwa sababu ya lugha? Halafu stori yako ya anga za juu imenichekesha balaa.Usa anatumia language za kawaida katika system zake wakati russia anatumia language zake mwenyewe ambazo hazipo popote pale duniani.
Usa hawezi kumdukua russia kwa sasa kutokana na utofauti wa hizo language.
Pia bajet ya fedha sio kiashiria cha uwezo wa jeshi kivita au kitechnology.
Usa anamakambi mengi ya jeshi na kuyaendesha haya makambi no kitu kinachoitaji fedha nyingi wakati russia hana kambi nyingi kiivyo but kaamua kuwekeza kwenye technology ambayo itamwezesha kiendesha vita popote duniani kutokea moscow.
Ntatoa mfano mfogo tu kuthibitisha kuwa fedha sio issue kwenye mambo ya kitechnology.
Wakati wa ushindano wa kwenda kwenye space usa na russia waligundua kuwa huko juu hakuna gravitation force. So peni isingeweza kutumika kurekodi data huko juu.
Usa wakaaamua kutumia pesa nyingi sana kutengeneza peni ambayo ni ant gravity ili waweze kuitumia kwenye space lakin russia wakaamua kutumia penseli tu ili waweze kurekodi data huko juu.
Sasa katika mfano huo mtaona kwamba pesa sio kila kitu bali akili na maarifa.
N
Ungekuwa mjuzi wa mambo ya it ungeelewa niliposema lugha nilikuwa na maana gani. <br />Naomba nukupe nafasi useme ni wapi au kitu kipi ktk eneo la jeshi ambalo usa anamzidi russia.Acha porojo Mkuu. Yaani katika obstacles zoote ulizozifikiria umeona lugha ndio issue? Yaani US washindwe kuwa-hack Russia kwa sababu ya lugha? Halafu stori yako ya anga za juu imenichekesha balaa.
Emb mkuu sema jina la hiyo lugha hapa? Naelewa unachokisema,ila nataka kujua hiyo lugha unayosema iko Russia peke yake.Ninaposema languange simaanishi kingereza na kirusi bali ni neno linalotumika kwenye it.
Languange. Zinazozungumziwa hapa ni kama java, c++,c+ nk.
Sasa mmarekani anatumia common languange katika kuunda program zake au system zake wakati mrusi anatumia language yake peke yake ambayo hakuna kokote kule duniani
Unatoa hitimisho kutokana na dhana na si uhalisia? Kwa hiyo ni kubwa kuliko Apple??! kampuni ya sony ni kubwa sana nadhani sio america tu bali duniani kote hivyo katika suala la security lazma wawe vizuri kuliko hata mabenki.huwezi kufananisha kuhack hiyo kampuni na kuhack email za clinton
watu hawaoni hii obvious fact.kelele za Putin tuu hizo USA wapo mbali sana, Urusi si ndio inayowekewa vikwazo mbona sijawahi sikia USA kuwekewa vikeazo pamoja na makosa anayofanya..unawezaje kuwalinganisha hao mmoja yupo juu kabisa ya mwingine..
Several waves of major cyberattacks against an internet directory service knocked dozens of popular websites offline today, with outages continuing into the afternoon.Wako vizuri...! Kwa sasa wanaijua US and others in and out. Na sasa wameibuka na hii web yao kabisa. Ukijichanganya kuingia kwenye web yao kwa kudukua...system yako 'inatafunwa' hapo hapo.
Russian military launches own ‘closed internet’ for classified data exchange – report
Kuna kipindi Uchina waliwanyoosha USA kwa kuwaibia nyaraka kibao mpaka wakaomba poo.Amini amini nakuambia,mpaka sasa hakuna taifa lililo mbele ya Marekani kwa chochote kile,wao hucheza na nyakati tu basi.
Utakua umesahauKuna kipindi Uchina waliwanyoosha USA kwa kuwaibia nyaraka kibao mpaka wakaomba poo.
Nalog off
Toka kampeni za urais Marakani zipambe moto mengi mpaka sasa yameshaibuka matukio, na
kikubwa ni kuibuliwa kwa email za siri za Mama Clinton, Wikileaks ndiyo waliovujisha emails zinazofikia 11k mpaka sasa, baada ya haya kutokea wanolaumiwa ni Putin na serikali yake.
Marekani wameenda mbali na kauli ya Joe Biden inadai watafanya cyber attack kuelekea Russia na kwa Putin.
Ninachojiuliza kwa nini US wamegeuka watu wa kulalama kwenye media badala ya kufanya vitendo, ni kweli US imeachwa mbali kwenye ukachero wa kimtandao?
Je, hizi emails zina effects gani kwa Hilary?
Mkuu language hajamaanisha lugha ya mazungumzo Bali computer languageKwa hiyo mkuu unataka kuniambia Cia na fbi hawana watu ambao wapo fluent na kirusi kumbuka kuna wakimbizi wengi sana ambao wanaishi marekani ambao wanaongea kirusi mfano chechinia na kuna wengine huwa wanaishi kwenye nchi ya ukimbizi na baadaye kuamua kurudi nyumbani wakiwa planted kwenda kufanya kazi za kijasusi. hawa majajusi wanatabia ya kununua watu kuwalipa pesa nyingi kwa ajili ya kijua siri za nchi jirani na hiyo inakwenda both ways sikatai kwamba russia sio wazuri kivita ila hata ktk hali ya kawaida mtu ambaye amakuzidi bajeti mara 7 au nane lazima ukubali anauwezo wa kufanya research kuliko wewe kuinvest kwenye mambo mengi kuliko wewe sio rocket science kujua hilo mkuu.
Jeremy Hammond jamaa aliingia kwenye server na kuleak millions of data ,.bahati mby alichomeshwa na Sabu ambaye pia alikuwa hacker na huyu jamaa kaishia high school tu ,ndiye aliyehack Sony na kuleak ,na kaingia ktk server za serikali sana ila alikamatwa na ndiye aliyemchomesha mwenzie.Kampun ya Sony!! Ivi hujui hii ni kampuni binafs ?nan mmiriki wake?
Kwenye cyber hata uwe genius vp kwakuwa system yeyote ile kuna loopholes lzm utakuwa vulnerableNi waambie kitu duniani hakuna watu wenye akili nyingi na magenus kama WAYAHUDI never play with them .Us ndo dunia ilipo pale
Post inaongelea cyber war,tusitoke nje ya madakelele za Putin tuu hizo USA wapo mbali sana, Urusi si ndio inayowekewa vikwazo mbona sijawahi sikia USA kuwekewa vikeazo pamoja na makosa anayofanya..unawezaje kuwalinganisha hao mmoja yupo juu kabisa ya mwingine..