Inawezekana Russia wapo imara katika masuala ya mitandao kuliko Marekani

yaaahh tufanye tu kampuni binafsi.je kunaweza kuwa na urahisi km unavyofikiria?! kampuni ya sony ni kubwa sana nadhani sio america tu bali duniani kote hivyo katika suala la security lazma wawe vizuri kuliko hata mabenki.huwezi kufananisha kuhack hiyo kampuni na kuhack email za clinton
 
2015 bajeti ya jeshi la marekani ilikuwa $598.5 billion na Russian military bajeti ya mwaka 2015 ilikuwa $81 billioni you do the math mkuu mmarekani umpende au umchukie lazima ukubali jamaa wameiacha dunia nzima mbali sana wengine wote wana play catch up.
Tena mpaka Kwa Madeni makubwa yupo juu

 
Amini amini nakuambia,mpaka sasa hakuna taifa lililo mbele ya Marekani kwa chochote kile,wao hucheza na nyakati tu basi.
Mbona USA ndiyo inaongoza kwa kushambuliwa mtandaoni? Sio ushahidi kwamba kuna nchi zimejiimarisha zaidi katika mashambulizi ya mtandao kuliko USA? Angalia hapa live cyber attacks kuelekea USA na uone zinatoka wapi:Norse Attack Map
 
Vipi na sie kitengo chetu cha kufatilia nyendo za watu maana inaonekana kipo vizuri sana kwa kushirikiana na TCRA maana ukifanya jambo la ajabu hasa kwa mkuu lazima wakudake mnadhani tunaweza kuwa sana na USA
Wengi wanaokamatwa ni wale ambao hawakukusudia kutenda makosa ya mtandao-yaani wale wanaotukana watu matusi. Lakini mhalifu hasa wa mtandao hakamatiki kirahisi. Hata nchi zilizoendelea kama USA watu kama hao wanawindwa kwa miezi kama sio miaka. Sembuse huku bongo ambako addressing system haieleweki.
 
Mmmmhh...kwa hiyo kupewa ruzuku na serilali, serikali ndiyo inayomiliki hicho unachozalisha??? Hujui maswala ya uchumi bila shaka. Kwani wale wakulima wanaopewa ruzuku...baadae Yale mazao yanakuwa ya serikali??? Anyway...I don't need your replies on these qtns.
Nimekwambia ruzuku Mimi sijakwambia kitu kingine zaidi soma vizuri post yangu na uende utafute maana ya ruzuku ni nini kwa Sera za marekani
 
Wengi wanaokamatwa ni wale ambao hawakukusudia kutenda makosa ya mtandao-yaani wale wanaotukana watu matusi. Lakini mhalifu hasa wa mtandao hakamatiki kirahisi. Hata nchi zilizoendelea kama USA watu kama hao wanawindwa kwa miezi kama sio miaka. Sembuse huku bongo ambako addressing system haieleweki.
Poa kaka hapo sasa umenipa mwanga kwa maana ni kama mwizi wa mafuta ya transformer hawezi kuwa mtu ambae hana uelewa na mambo hayo ,na kwa mantiki hiyo hao hao wataalamu wa mtandao ndio waharifu wa mtandao
 
Ninaposema languange simaanishi kingereza na kirusi bali ni neno linalotumika kwenye it.
Languange. Zinazozungumziwa hapa ni kama java, c++,c+ nk.
Sasa mmarekani anatumia common languange katika kuunda program zake au system zake wakati mrusi anatumia language yake peke yake ambayo hakuna kokote kule duniani
Mwenzako alijua ni lugha kama kimakonde kumbe wewe unaongelea lugha ya CODES
 
Makeran ndio inch pekee inayo miliki Space na kukontrol satelaiti karibia zote. Sasa hapo kwa udukuzi kitawashinda nn
 
Usa anatumia language za kawaida katika system zake wakati russia anatumia language zake mwenyewe ambazo hazipo popote pale duniani.
Usa hawezi kumdukua russia kwa sasa kutokana na utofauti wa hizo language.
Pia bajet ya fedha sio kiashiria cha uwezo wa jeshi kivita au kitechnology.
Usa anamakambi mengi ya jeshi na kuyaendesha haya makambi no kitu kinachoitaji fedha nyingi wakati russia hana kambi nyingi kiivyo but kaamua kuwekeza kwenye technology ambayo itamwezesha kiendesha vita popote duniani kutokea moscow.
Ntatoa mfano mfogo tu kuthibitisha kuwa fedha sio issue kwenye mambo ya kitechnology.
Wakati wa ushindano wa kwenda kwenye space usa na russia waligundua kuwa huko juu hakuna gravitation force. So peni isingeweza kutumika kurekodi data huko juu.
Usa wakaaamua kutumia pesa nyingi sana kutengeneza peni ambayo ni ant gravity ili waweze kuitumia kwenye space lakin russia wakaamua kutumia penseli tu ili waweze kurekodi data huko juu.
Sasa katika mfano huo mtaona kwamba pesa sio kila kitu bali akili na maarifa.
N

Mkuu kwa hyo penseli ni ant gravity!!?
 
Toka kampeni za urais Marakani zipambe moto mengi mpaka sasa yameshaibuka matukio, na
kikubwa ni kuibuliwa kwa email za siri za Mama Clinton, Wikileaks ndiyo waliovujisha emails zinazofikia 11k mpaka sasa, baada ya haya kutokea wanolaumiwa ni Putin na serikali yake.

Marekani wameenda mbali na kauli ya Joe Biden inadai watafanya cyber attack kuelekea Russia na kwa Putin.

Ninachojiuliza kwa nini US wamegeuka watu wa kulalama kwenye media badala ya kufanya vitendo, ni kweli US imeachwa mbali kwenye ukachero wa kimtandao?

Je, hizi emails zina effects gani kwa Hilary?
Mkuu, miaka yote kwenye ishu ya electronics russia wako juu kuliko marekani. Upambe tu ndo huwa unamfanya mmarekani aonekane yuko juu. America watachukua muda sana kuja kuifikia technology especially ya electronics na IT ya russia. Warusi wanawachezea sana marekani kwenye tech ya internet ndo maana unasikia sasa hivi wanalalamika kwamba putin anaingilia maswala ya kisiasa ya marekani. Noway US wanaweza kudukua server za russia mzee
 
TUJITEGEMEE principle states that the capability of handling internet connection is directly proportional to that of mastering the mathematics displine.

Russia wako vizuri kwenye hesabu kuliko Wamarekani.
kweli kabisa. Wanasema wanafunzi wengi wa russia wanasoma masomo magumu ikiwemo fizikia, math na mambo ya ki electronic lakini wengi wa marekani ni vilaza, na marekani inatumia pesa nyingi sana kupata ma expert wa kisayansi kutoka nje.
 
Back
Top Bottom