Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

..... Sauli alikuwa chaguo la Mungu? Utawala na mwisho wake ulikuwaje?
Vp kuhusu sisi wanadam? Je kwa kuzaliwa kwetu ni wito, chaguo au mpango wa Mungu? Je maisha yetu tumeyafanya yawe na thamani kiasi gani kwake na kwa dunia?
Je uwepo wetu katika dunia hii ni chaguo la Mungu? Mbona magonjwa, vimbunga, mafuriko, na vifo vya kikatili vinatuandama wakati uwepo wetu hapa ni chaguo la Mungu?
 
kuna miungu mingi, wengine wanaabudu ng'ombe, milima, masanamu na wengine wanaabudu mijibwa aina ya BULL DOGS sasa sijui alichaguliwa na mungu gani kati ya miungu hiyo isiyo na akili wala utashi?
 
Hayo makanisa hayafany kaz ya mungu,maask0fu ndo walosema,na ni wanafki!
Ckumuamin jk tangu mwanzo
 
Viongozi wa dini walipata wapi mamlaka ya kutangaza hadharani kuwa JK ni chaguo la Mungu wakati ule wa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Kama ni kweli Mungu alihusika, basi alikosea. Ama kama hakukosea basi huenda watanzania tunayo madhambi makubwa hivyo alimchagua JK kwa ajili ya kutoa adhabu hiyo badala yake. Vinginevyo wale wote walitangaza hadharani kuwa JK ni chaguo la Mungu wajitokeze kufuta kauli zao ama walete maandiko kutoka katika vitabu vyao wanavyoviamini watunyeshe aya hiyo. Au, watuambie huyo ni Mungu yupi?

Waandishi wa Riwaya/Hadithi huwa mnafikiria na kuandika kinyume kabsa na matarajio ya watu. Chaguo hili feki mi nilikuwa nmesahau..
 
Ukifikiria kwamakini utagungua mambo ambayo huwezi kuyaona kirahisi, fikiria kuhusu uhuru wa vyombo vya habari, angalia jinsi wanafunzi wengi walivyo pangiwa vyuo hii inamaana waelewa tanzania wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno na mawasiliano pamoja na habari zinasambaa kwakasi ya ajabu sana.

Sasa angalia jinsi serikali inavyo fanya madudu huwezi amini kwamba hawa watu hawaoni Tanzania ya leo kila mtu anataka kufahamu kuhusu dwns richimond,kagoda,buzwagi ,ufisadi wa wizara a madini, kauli ya pinda wizara ya madini na afya umasikini wa mtanzania, matatizo ya muungano na mengine mengi. lakini cha ajabu ni kuwa viongozi ni kama halioni hili yani kama wamelala na wanasubiri mtu wa kuwaamsha. Siwezi kudharau mchango wa kikwete kwenye mabarabara na shule zetu za kata.

Ndio maana nasema labda Mungu alimchagua kikwete ili awape watu elimu watu wafunguke kisha aruhusu mawasiliana kitu ambacho bwm alileta nacho noma sana halafu watu wakishaona matatizo lukuki ya mtanzania wawasiliana kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya mawasiliano kisha wachukue maamuzi ya busara (thanks kikwete kwa kutuwekea mkongo wa taifa)
 
wakati mwingine Mungu huwawekea wanadamu kiongozi atakayefanya maisha yao kuwa magumu kuliko hata ya wana wa israel walipokuwa misri ili wabadilike na kujiletea ukombozi wao wenyewe. Lakini kwa watanzania bado. Kuna kizazi kimekua bila kujua bunduki ni nini mpaka leo wanadhani ukitoa hoja mbadala unataka kuleta vita,na ndo wamedanganywa hivo. Mi nikisikia kuna sehemu wananchi wameuawa,wamechomewa nyumba,wameporwa ardhi nk huwa nafurahi kwani inaharakisha uhuru wa nchi hii.
 
Hayo matope hadi wayapange yawe akili, walimu wako wanasafari ndefu!
 
(nyet) yapi ni matope hapo au umeshindwa ku extract kinachokufaa, haya basi uliza ujibiwe we unabaki na maneno ya uzaramuni maneno ya kangaaaa!! minakwambia kikwete kweli chaguo la mungu
 
CCMhakuna shaka itafia mikononi mwa mwenyekiti wake Jakaya Kikwete. Afadhaliwatabiri wa kifo cha CCM sasa wanatoka ndani ya CCM. Nadhani mmewasikia DkHassy Kitine, Joseph Butiku na Ibrahim Kaduma wakitabiri kusambaratika nahatimaye kufa kwa CCM. Ingawa waliosema Kikwete ni chaguo la Mungu walifanyahivyo kwa kujikomba, kwa kuiua CCM ili Tanzania ikombolewe Kikwete ni chaguo laMungu. Je wewe unasemaje?
 
Huyo mungu alituchagulia JK ili aharakishe kifo cha ccm na hatimaye uhuru wa kweli tz upatikane.
 
Huyo mungu alituchagulia JK ili aharakishe kifo cha ccm na hatimaye uhuru wa kweli tz upatikane.

kama mtangulizi wake kaharakisha kifo cha MWALIMU kwa nini yeye asiharakishe kifo cha ccm au amtoe mzee wa ukapa
 
Nakumbuka maneno ya Shibuda. CCM itafia mikononi mwa kikwete

Shibuda alipokuwa CCM ni kweli CCM ingefia mikononi mwa JK lakini maadam yuko chadema basi chadema kitafia mikononi mwa Dk. Slaa na Mbowe kwani Shibuda ni joka la mdimu lisilokula ndimu lakini ukitaka kuchuma linakuuma
 
mpwa utakufa wewe na wanachama wa ccm --CCM AIFI MPWA...binafsi nikuweke wazi upinzani bila kuufungana ni kusapoti ngo usiyojua mmiliki ni nani
 
Back
Top Bottom