Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,765
Kingi nakuelewa. Lakini kama kupenda ni auto'matic' ('naturally'?) kwa nini Mungu aliwaagiza wanaume 'wawapende' wake zao? Katika maagizo haya Mungu alipotumia neno kupenda alikusudia nini?(Sorry, nimetumia biblical angle just to clarify my point).
umeshasema mke, mkuu. Hapo wameshavuka hatua ya kutakana hadi kuwa mwili mmoja. Sasa hapo Mungu kupitia mtume anayasisitizia mapenzi. Ndivyo nilivyoelewa