Inawezekana Kujifunza kumpenda mtu?

Kingi nakuelewa. Lakini kama kupenda ni auto'matic' ('naturally'?) kwa nini Mungu aliwaagiza wanaume 'wawapende' wake zao? Katika maagizo haya Mungu alipotumia neno kupenda alikusudia nini?(Sorry, nimetumia biblical angle just to clarify my point).

umeshasema mke, mkuu. Hapo wameshavuka hatua ya kutakana hadi kuwa mwili mmoja. Sasa hapo Mungu kupitia mtume anayasisitizia mapenzi. Ndivyo nilivyoelewa
 
Love is a process. In life kila mtu ana expectations of the kind of person they would wish to be with. Hiyo inakuwa ni benchmark, na kwa mfano mtu akitokea ana sifa hizo zote inakuwa rahisi mtu kumpenda moja kwa moja. Lakini unaweza kutompenda mtu kwa mara ya kwanza maana sifa unazoziangalia hana karibu asilimia kubwa. Lakini getting to know the person may make you fall in love with him. This is the mature love and not infatuation. Or what commonly referred to as puppy love.

Kawaida with the mature love it grows and grows, not by learning, na kama kawaida with time there comes attachment.

That is why even in marriage marry somebody you trust...not one you love as this can grow, and you will never have a sleepless night. The love should come naturally not forced.
 
Mimi sidhani kama kuna kujifunza katika hilo, ni siku ile ile ya kwanza, mtu unapenda na ukipenda ndio basi tena, wengine hadi huwa wanajiua hapo, lakini kujifunza eti kwakuwa siku ya kwanza hukupenda hii si kweli jamani! haiwezekani!
 
Inawezekana sana kujifunza kumpenda mtu (ila hii wengi husema kwa mwanamke zaidi)

kuna watu huwa mrafiki kwanzoni lakini muda unavokwenda they grow feelings za mapenzi
wengine hutongozwa na watu ambao wala hawawa-feeling lakini muda unavokwenda wakiwasiliana na kuwa na ukaribu hisia za mapenzi huchipua

U got something wrong there bht... feelings can grow and you can love a person after knowing them.... but that doesnt meaning you have learned to love that person... learning terms means you have put some efforts to love that person, which I dont think it an easy thing... love should come naturally...
 
Habari wana jamvi!
Ni kweli kuwa inawezekana kujifunza kumpenda mtu (kimapenzi)
hata kama kwa mara ya kwanza hukumpenda au hakuvutii?
Ufanye nini au ni steps gani za kuzifuata?

Ni vigumu kujifunza kumpenda mtu ambaye kwa mara ya kwanza hukumpenda au hakuvutii, hata ikiwezekekana, hilo penzi litakuwa na upande mmoja.

Ikishtukiwa kuwa penzi ni la upande mmoja, ni rahisi kujifunza kumchukia mtu ambaye kwa mara ya kwanza ulimpenda na alikuvutia. Chuki ya kujengwa mara nyingi haina suluhu.
 
Swali lako ni pana kuliko unavyofikiria. It needs us to assume a lot of things?Labda ulielezee kiasi...
Mf:
Je, ni mtu ambaye mmezaa naye mkalazimika kuishi pamoja?
Je, ni mtu anayeonekana kukupenda sana kiasi unafeel unfair for not reciprocating his/her love?
Je, ni rafiki yako wa kike/kiume ambaye unaona ana hisia za kimapenzi juu yako na wewe mpaka sasa unamchukulia kama rafiki?

Je, ni mtu ambaye rafikizo wanaona anakufaa na wewe huna hisia naye?
Je...
Tupe the reason behind the question because maswali yote niliyouliza yana majibu tofauti.
Nawasilisha...
In red: Inawezekana kujifunza kumpenda! Reason being ni mtu ambaye unamfahamu; unajua uzuri wake na ubaya wake! So, u r in a better choice to decide kama wataka kuwa naye ama la!
In Blue: Hapo ni ngumu kiasi kwani ni mtu usiyemfahamu!
All in all, wacha niseme its all about giving people the chance inawezekana hujampenda kwasababu u did not take the time to know the person...If u did, u'd be shocked!
 
I dont think so.wengi wameshindwa.Moyo haujifunzi moyo wenyewe huwa unapenda..hata siku moja myo haujifinzi,never.
 
Inawezekana kujifunza kumpenda mtu. mfano mbona mara nyingi wanawake wanawatukana wanaume wanaowatokea. mwanaume asipokata tamaa na kuendelea kumfuatilia taratibu kadri muda unavyokwenda mwanamke anaanza kuvutiwa nae kwa jinsi alivyo mvumilivu, mtaratibu, mawazo yake, mtazamo wamaisha, n.k. hadi wanazama kwenye mapendi motomoto!
 
U got something wrong there bht... feelings can grow and you can love a person after knowing them.... but that doesnt meaning you have learned to love that person... learning terms means you have put some efforts to love that person, which I dont think it an easy thing... love should come naturally...

I simply spoke my mind (just like anyother person here)
and that is still my stand!!
 
Inawezekana kujifunza kumpenda mtu. mfano mbona mara nyingi wanawake wanawatukana wanaume wanaowatokea. mwanaume asipokata tamaa na kuendelea kumfuatilia taratibu kadri muda unavyokwenda mwanamke anaanza kuvutiwa nae kwa jinsi alivyo mvumilivu, mtaratibu, mawazo yake, mtazamo wamaisha, n.k. hadi wanazama kwenye mapendi motomoto!

Inasemekana mwanamke akitongozwa na akikubali muda huo huo bila ya kumzungusha zungusha mwanaume anaonekana 'kicheche'
so ni lazma ajizungushe kwanza na hata wanaume wanalijua hilo ndo maana wanapokataliwa huwa waongeza juhudi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom