Inauma sana

I am one of them and married....
ouch!! sorry. calm down and sit together and discuss why she did it. (utetezi wa shetani alinipitia hautoshi). labda hayuko emotionally satisfied au uko too busy with work and she became weak etc. ongeeni kwa undani kujua if she is still in love with you. jaribu kuwa mwelewa (don't use anger) na tumia reasoning ku solve tatizo. and hope for the best.
 
namwambia amuite na mke wake ....mpaka ngoma iwe drooo....tunafanya exchange ya live...ukizingatia nimetoaka safari afu karoti haijatumika...hahahha itapendeza
 
Hahahaaaa! Namimina wine expensive niliyoiweka kwa special ocassions ambapo impossible zitahapen!!!! LOL! Hapo wachukua glasi wawapa kila mmoja glai yake huku wewe hunywi!!!! (Watajambajeeeee! Lazima wahisi umewawekea SUMU si bure!!! Kila tone la wine wakimeza wanalisikia hadi kwenye OBLONGATA !!!! Hapo wanawaza sijui hiyo sumu ni ya kufa usingizini, au kukwanguka utumbo, au kuunguza maini!!!!!!!!!! Kumbe ni jst a glass of wine!:lol: Smtimes adhabu ndogo zinaadhibu kuliko kubwa

Absolutely.!! you perfect,.. as simple as Psychological Warfare. Hiyo usiombee inasumbua sana.!!!
 
Back
Top Bottom