Mvua inaendelea kunyesha mjini hapa na bila shaka kila mmoja anachukua tahadhali stahiki ili kuendelea kubaki salama.
Hongereni sana mnaopendana. Mliopendana bila kujali hali au mazingira ya kiuchumi na kisha uchumi ukawafuata. Mapenzi ni matamu sana kama upendo unatoka moyoni. Siku hizi mapenzi yameathiriwa na kigezo cha pesa.
Wazazi wetu walifaidi sana enzi zao. Kwa sasa unaweza kumpenda mtu na yeye akawa amependa uchumi wako