Inauma sana

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Hebu fikiria,unatoka safari;unafika nyumbani unamkuta mkeo katika hali/mazingira haya.Utachukua uamuzi gani?
 

Attachments

  • USINITANIE.jpg
    USINITANIE.jpg
    25.6 KB · Views: 228
Mkuu Joseph, hata kama lipo tatizo linaweza kuwa justified kwa kitendo hiki?
Tatizo letu wengi huwa tunashughulika na matokeo badala ya chanzo,ndio maana nikasema yafaa ujiulize mara mbili.

Picha hii inaonesha matokeo lakini haitupi chanzo,Unaweza kuta mwanamke alikwishawahi mfumania mumewe mara nyingi tu tena katika kitanda hicho hicho.

Inawezekana mwanaume hamridhishi mkewe kutokana na kuwa busy na kazi au biashara na matokeo yake ndio haya.
 
Mie kwangu suluhisho ni kuachana tu regardless tuna watoto au vinginevyo!
 
Hebu fikiria,unatoka safari;unafika nyumbani unamkuta mkeo katika hali/mazingira haya.Utachukua uamuzi gani?

Nampiga huyo kidumu na kumwachia alama ambayo itadumu siku zote, halafu nampiga huyo mwanamke vibaya ikiwezekana azimie......HII NI KUTOKANA NA DHARAU.....NYUMBA NIJENGE MIMI, VIDUMU VIISHI HUMO WEEEE....
 
unaenda kukodi "vijana wa kihuni" waje kuwala 0713 wote wawili. unarekodi na kuiweka kwenye tovuti ya --------.com
:lol:
 
Hahahaaaa! Namimina wine expensive niliyoiweka kwa special ocassions ambapo impossible zitahapen!!!! LOL! Hapo wachukua glasi wawapa kila mmoja glai yake huku wewe hunywi!!!! (Watajambajeeeee! Lazima wahisi umewawekea SUMU si bure!!! Kila tone la wine wakimeza wanalisikia hadi kwenye OBLONGATA !!!! Hapo wanawaza sijui hiyo sumu ni ya kufa usingizini, au kukwanguka utumbo, au kuunguza maini!!!!!!!!!! Kumbe ni jst a glass of wine!:lol: Smtimes adhabu ndogo zinaadhibu kuliko kubwa
 
Nitawapisha naenda kulala chumba cha wageni,wao waendelee kula raha. Kama Mungu ametupatia watoto. Sita uliza chochote ila yeye ndiye atajua afanyeje?
 
mie hapo namwambia mkee kuwa seems unapenda dushelele mbilk so myt as well just have a threesome ku satisfy ur desires
 
namshikisha jamaa ukuta mbele ya huyo mama. Namfundisha jinsi ya kula cone na Asubuhi nawatimua wote
 
Back
Top Bottom