jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,062
- 28,252
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.
Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.
NHIF amehusika kukuza hospitali nyingi za binafsi kwa reimbursement ya mafedha mengi leo hii zinagomea wateja. Hata kama NHIF ina changamoto zake lakini sio kwa extent ya kugomea wateja wake...yaani wa kina sisi.
Sio kwamba hatuoni mnavyolazimisha na mlivyotengeneza genge la kuwapiga watanzania kwa kuexagerrate price za tiba mfano oxygen.
Hongera waziri tukiwaachia watatuletea ombwe kama ilivyo huko USA yaani mwalimu au hata daktari atashindwa kumudu gharama za matibabu.
AFYA SIO BIASHARA....NI HUDUMA.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!