Inashitua: Watanzania wengi hawasikitishwi na Kifo cha RPC Mwanza!

kwangu mm cwz kucktk jamaa mwenyewe alikuwa n demu wa mtu kwani hakujua kuwa mke wa mtu ni sumu akajiandae kuwa kuni za kuchochea wenye dhambi chache[/Q

Lisemwalo lipo hata mimi nasikia hao jamaa hawakuwa majambazi bali mshua alikuwa anajivinjari na mke wa mtu jamaa ndio wakamfuatilia na kumpa za uso....kikao gani cha harusi saa saba za usiku?
 
Kwa vyovyote vile mtu kuuawa bila kosa haikubaliki. Hisia za jino kwa jino si nzuri kwa mustakabali wa nchi. Kwa tunaomfahamu RPC Barlo alikuwa ni mtu wa watu na aliipenda familia yake na hakuwa na ugomvi na mtu. Hakuwa mtu wa mambo yasiyofaa katika jamii. Halafu tupigane na mfumo badala ya kulaumu mtu mmoja mmoja.

nani ambaye anaweza kumpa mtoto wake jiwe akiomba mkate.... Hata Osama na ugaidi wake wote bado aliishi na familia yake.
 
Ni kweli jamaa wanakera sana. Wamefanya speed limit kuwa chanzo chao cha mapato. Hata umezidisha 5 tu watakushupalia utadhani umemaliza speed meter. I hate them!


I say angalia bwana wasikuonee, sheria nyingi za speed limit zina allowance over the stated limit ambayo haipaswi kuzidi 9km/hr.
 
na wanaishi uraiani na sasa wasipojirudi yatawakuta makubwa zaidi
namshangaa hata padri aliesoma misa kwa ajili yake wakati tunajua
alimrudisha smal house yake kutoka kwenye kikao cha harusi kilichoisha saa 6 usiku
mara tukadanganywa dada yake mara ndugu yake mara kakamatwa
tunadanganywa hadi lini? polisi imeoza wote wameoza
 
Kifo cha RPC na reaction ya wananchi katika mitandao inareflect na kunikumbusha statement ya Malcom X alipouawa president Kennedy kwamba "it is the case of chickens coming home to roost".

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Katika maongezi yangu na watu na usomaji wangu juu ya kifo cha RPC Mwanza, nimeshituka kugundua kwamba Watanzania wengi hatuguswi sana na kifo cha huyu RPC, na wengine hata kudai ingekuwa ni RPC wa Iringa ndio ameuwawa wangekunywa champaigne!

Hii ni dalili kwamba uhusiano wa jeshi la Polisi na Wananchi umeharibika sana! Polisi wanapaswa kujitahidi sana kurekebisha hili. Sijawahi kuona jeshi la Polisi linalofanikiwa kupambana na uhalifu bila ushirikiano na raia, na kwa Tanzania inaonekana wazi kwamba Polisi wamezorotesha sana uhusiano wao na raia wa Tanzania.
Hizo ni hisia zako hasi tuu. ungekuwepo hapa mwanza ungeona kwa macho yako.
 
Back
Top Bottom