Kitengo gani kinashughulika na askari polisi tapeli?

Twin_Kids

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
3,064
4,622
Ni tumaini langu wote hamjambo.

Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia, natanguliza shukrani.

Au kama kuna mtu anaelewa, ni kitengo gani cha kushughulikia askari polisi tapeli.
 
Ni tumaini langu wote hamjambo.

Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia,natanguliza shukrani. Au kama kuna mtu anaelewa,ni kitengo gani cha kushughulikia askali Police tapeli!
Neenda kituoni kwenye dawati la police na jamii issue kama ni kweli itashugurikiwa haraka ataitwa na atahojiwa, kama wote mlikua kwenye dili hakakuruka usipoteze mda.
 
Neenda kituoni kwenye dawati la police na jamii issue kama ni kweli itashugurikiwa haraka ataitwa na atahojiwa, kama wote mlikua kwenye dili hakakuruka usipoteze mda.
Asante mkuu. Sipo Mwanza,ndo sababu ya kuomba namba. Kuniruka hawezi,kwa sababu badhi ya ushahidi ninao still.
 
Polisi wanalindana wewe

Wee jaribu kumalizana naye kivyako

Ova
 
Back
Top Bottom