Inasemekana kuna wabunge 38 tu mjengoni jioni hii

Wako busy mnadani, unashangaa nini?? kwani hujui bungeni ni porojo tu? bora wakale nyama wanenepe
 
ngoja nikacheck halafu niwape updates kama nusu saa hivi.
 
Dah hawa jamaa watakuwa wako majijini wanakula kodi za wapiga kura....
Hlafu na posho wanachukua....dah
 
anayeongea sasa hivi ni mwanasheria mkuu. anasema mfuko wa jimbo ni maalum kwa ajili ya wabunge wa majimbo. mabadiliko tuliyo leta ni yakuboresha mabadiliko kwa upande wa zanzibar.
 
Walema anasema;
Matatizo yaliyopo ni uvivu wa kufikiri. nasema hivyo bila kuogopa chochote
................

ibara ya 24 ya katiba( anaondoka),..kifungu cha 1 kila mmoja anayo haki ya kumiliki mali kwa mjibu wa sheria. ni marufuku kwa mtu yoyote kunyang'anywa mali yake (kuitaifisha) bila idhini ya sheria
Ibara ya 30 2. ifahamike kwamba misingi ya haki hayahalamishi sheria yoyote kutungwa kuwezesha jambo lingine kufanyika.
 
Walema anasema;
mahakama ndo inaamuru mali itaifishwe sio mwanasheria mkuu. mahakama lazima irizike(ibara ya 107a).
 
Walema anasema;
msemaji wa kambi ya upinzani kauliza maswali muhimu kuhusu madawa ya kulevya.
Kinachofanyika hapa ni kutenganisha makosa yanayo sikilizwa na mahakama ya kzi na mahakama kuu.
 
kwani kuna nini wandugu?

Mkuu unanifurahisha sana na hizi comedy zako!
Jioni wengi hasa wa magamba utawakuta gest houses usihangaike kuwatafuta mjengoni.
Unategemea umkute Mwigulu mjengoni? labda atakuwa ana umwa siku hiyo!
 
Back
Top Bottom