Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inasemekana kuna wabunge 38 tu mjengoni jioni hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Apr 16, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,435
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kwani kuna nini wandugu?
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wako busy mnadani, unashangaa nini?? kwani hujui bungeni ni porojo tu? bora wakale nyama wanenepe
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,144
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  sio kwamba inasemekana mm naangalia hapa viti tu ndio vipi
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,435
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  dah, mara ya mwisho kwenda dom mwaka 2004. hivi mnada bado upo?
   
 5. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 6,904
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Wawakilishi wa wananchi..
   
 6. w

  wakwetu 2 Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wacha wale bata si washasain asubuh:nod:
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  ngoja nikacheck halafu niwape updates kama nusu saa hivi.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,435
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  sasa mkuu unapata starehe gani kutizama viti? au ndo umetoka kutafuta ugali wa watoto umeamua kujipumzisha?
   
 9. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  upo sana mkuu siku hizi mnada umehamia kule maeneo ya Msalato, kama kilomita saba bivi ama nane toka mjini. jioni hii nyama inashuka taratiiiiibuuuu
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,533
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dah hawa jamaa watakuwa wako majijini wanakula kodi za wapiga kura....
  Hlafu na posho wanachukua....dah
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  aisse kama vile wapo wabunge 36 ukiwahesabu kwa makini.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  anayeongea sasa hivi ni mwanasheria mkuu. anasema mfuko wa jimbo ni maalum kwa ajili ya wabunge wa majimbo. mabadiliko tuliyo leta ni yakuboresha mabadiliko kwa upande wa zanzibar.
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,618
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tena 29 ni wabunge wa chadema!
   
 14. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 8,163
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  ndio maana TBC1 wanamuonyesha mbunge mmoja mmoja kwa kuzuumu(zoom)
   
 15. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Walema anasema;
  Matatizo yaliyopo ni uvivu wa kufikiri. nasema hivyo bila kuogopa chochote
  ................

  ibara ya 24 ya katiba( anaondoka),..kifungu cha 1 kila mmoja anayo haki ya kumiliki mali kwa mjibu wa sheria. ni marufuku kwa mtu yoyote kunyang'anywa mali yake (kuitaifisha) bila idhini ya sheria
  Ibara ya 30 2. ifahamike kwamba misingi ya haki hayahalamishi sheria yoyote kutungwa kuwezesha jambo lingine kufanyika.
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Walema anasema;
  mahakama ndo inaamuru mali itaifishwe sio mwanasheria mkuu. mahakama lazima irizike(ibara ya 107a).
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Walema anasema;
  msemaji wa kambi ya upinzani kauliza maswali muhimu kuhusu madawa ya kulevya.
  Kinachofanyika hapa ni kutenganisha makosa yanayo sikilizwa na mahakama ya kzi na mahakama kuu.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,944
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Mkuu unanifurahisha sana na hizi comedy zako!
  Jioni wengi hasa wa magamba utawakuta gest houses usihangaike kuwatafuta mjengoni.
  Unategemea umkute Mwigulu mjengoni? labda atakuwa ana umwa siku hiyo!
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  kamaliza. sasa hivi ni kamati ya bunge zima inakaa.
   
 20. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 8,163
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Dawa yao iko jikon, katiba itamaliza upuuzi huu.
   
Loading...