Hivi kwa nini Mwl. hakuwahi kupewa udokta kama walivopewa hawa mapresda wawili wa mwisho, Dr J na Dr. Ben? Maana yule mwingine aliyebaki yy tunamjua vyema. Au Mwl. hakufanya mambo kama wao?
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Mwalimu alishapewa PhD nyingi tu. Ila hakuwa mtu wa kutafuta sifa za kijinga kama akina JK. Hata hivyo nafikiri Ben pia hajataka hata kidogo kujikweza na PhD za mezani. Ukikumbuka vizuri ndiye alifuta hata jina la Mtukufu kwa Rais, na kujitahidi kuyapuuza majina yote yanayolenga kumpa sifa zisizo na maana. Ila huyu ndugu yetu wa Msoga wala sijui kama ni ulimbukeni au ni kitu gani. Taabu tupu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.