Inaniuma sana kwa kweli.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Hivi kwa nini Mwl. hakuwahi kupewa udokta kama walivopewa hawa mapresda wawili wa mwisho, Dr J na Dr. Ben? Maana yule mwingine aliyebaki yy tunamjua vyema. Au Mwl. hakufanya mambo kama wao?
 
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Mwalimu alishapewa PhD nyingi tu. Ila hakuwa mtu wa kutafuta sifa za kijinga kama akina JK. Hata hivyo nafikiri Ben pia hajataka hata kidogo kujikweza na PhD za mezani. Ukikumbuka vizuri ndiye alifuta hata jina la Mtukufu kwa Rais, na kujitahidi kuyapuuza majina yote yanayolenga kumpa sifa zisizo na maana. Ila huyu ndugu yetu wa Msoga wala sijui kama ni ulimbukeni au ni kitu gani. Taabu tupu!
 
Jinsi Kikwete alivyokuwa out of touch na reality sitashangaa kama hajuwi anaitwa Doctor, yeye anawaza kesho akiamka aende kumchekea nani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom