nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 361
Msione kimya wandugu ,nipo LOLIONDO tangu Jumatatu na nipo ktk foleni mtu wa 1690 na foleni inaenda polepole ,kwa nyuma zaidi nawaona mizengo pinda wa 1703,olesendeka 1780,rostam 1900 na wengne wengi ,kwa kule upande wa pili namwona mzee wa upako na mama rwakatare nao wanasubiria kikombe,ntaendelea kuwajuza yanayojiri huku ila msione kimya tatizo ni network.