Imeniuma sanaa!

on grounds za our creator!
infact premarital sex nayenyewe ni wrong na ndio imeleta huu mkasa. the popularity of a certain practice nd ur parents being happy raising their grandchild doesnt take away the shamefulness of the situation.

if we as society we have come to glamourize and extol all that is morally wrong all in the name of freedom of choice. this is wrong. ifike wakati tuwe wakweli na tukemee mabaya even if its our relatives involved

So to you the greatest sins of all is "FORNICATION", right? Huwa nawashangaa sana watu kama nyie, mnasahau kwamba there are 10 commandments for us who are Christians, na zote zinatakiwa ziheshimiwe kwa kiwango kile kile, hamna dhambi kubwa kuliko nyingine, whether you lied or you killed or you lusted at someone's else's property they are all sins before the eyes of God and will be punished with the same degree of judgement so stop trying to imply kwamba for us who fornicate tunatenda dhambi kubwa kuliko nyie "watakatifu". Lemmi enlighten you a lil bit, unakumbuka yule mwanamke mzinifu aliyepelekwa kwa Yesu wakitaka amuhumu? What did Jesus tell them: "Let who has not sinned be the first one to cast a stone at her." Mbona hakuna aliyeyanyua jiwe kumpiga yule mwanamke. The same way, don't rush to judge others just because you feel you are justified to do so, we have all sinned and fallen short of God's grace, jifunze kuungama dhambi zako kila wakati na usihumu coz na ww utahumiwa.
 
Habari wanaMMU,......

Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.

Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).

Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake

Usitoe mimba acha na amini usiamini mtoto akizaliwa ajileta mwenyewe na hapo ndio utamfunza adabu
 
well said and actually concur with wat u said..
sasa ukumbuke kuhuku ni jukumu la muumba sio sie wanadamu ila tunapaswa kutambua kibaya pale ambapo kinatendeka.
am not saying kuwa huyu binti awe stoned au nini but we have to acknowledge kuwa its wrong. acknowledgement is not the sameas judgement....dnt mix the two.

jambo lengine ni kwamba tho god will forgive u for ur sins zile consequences zako hataziondoa....so huyu binti will face the consequences.

wewe umesema dhambi zingi shuld be held viewed in the same light as fornication ni kweli ila kwa hapa hatuongelei wizi we have to stick.to the disvussion at hand.
 
Yaani i was just about to.......si unajua zile za kunyatia?yaani am shocked hadi mwisho!...

let me see kama naweza lea hivyo hivyo wa watu!
nilidhani hata kama kuna ishu labda angeniambia as niko hapahapa karibu yani!dah!

Life is full of surprises u don have to be shocked

talk to her muelewane anachohitaji kwa sasa ni support
 
Queen Kan unacho takiwa kujua kuwa mwanaume akiamua kukukana au kuku kataa haangalii historia kabisa sijui mambo tumetoka mbali,sijui tuna miaka minne hakuna.

Na bahati mbaya linapo kuja swala la kutumia kinga ni wanawake wachache sana wana weza wakawa na maamuzi ya kutumia au kutotumia! Maamuzi ya kutumia au kuto tumia kinga yapo kwa mwanaume.

Na katika somo ambalo pengine wanawake wengi na wasichana wamekuwa wakifeli ni hili la uwezo wa kuamua linapo kuja swala la kinga.

Queen Kan usinge andika kuwa huko chuoni yani nilikuwa nifikiri ni mdogo wangu kabisa.

Maana nina Mdogo wangu amemaliza diploma fulani majuzi tuu na mpango ulikuwa mwaka huu afanye application kwajili ya kuanza chuo, sasa niliishiwa nguvu na kusononeka mpaka leo
baada ya kupewa taarifa kuwa ana mimba,yaani kwakweli nime kosa la kusema hadi sasa na aliye niambia ni rafiki yangu na kinacho shangaza amekuwa akiniambia kuhusu kushughulikia yeye kwenda chuo na sasa ni mwezi wa pili hajaniulizia tena wala kunipigia simu kama kawaida yake na hilo ndilo limenifanya niamini kweli kanasa.

Kwakweli ina sikitisha sana maana nafikiri sijui nae kakanwa kama wewe na shule?

Aiseeee kuna mambo yana changanya sana, na mimi nimenyamaza na wala sito muuliza kabisa, kwakeli nina hasira.

Na huyu katika wadogo zangu niliona ndio anaelewa sana somu juu ya sisi wanaume kuwa huwa hatutofautiani sana lakini daaa kaniacha kwenye wakati mgumu sana tena sana.......

Najiuliza kama na yeye ana fikiria kutoa kama wewe sijui na sina mpango wa kumuuliza.

Hila Queen Kan usitoe mimba, we waeleze wazazi lakini ujue ina kwaza na kufedhehesha sana tena sana.

Ni wanaume wachache wanaoa mwanamke walio mpa mimba nje ya ndoa.

Jipange.
 
Last edited by a moderator:

thats what these kids shuld be told...well said
 
Last edited by a moderator:
Pole dear,hongera pia.Lea mimba yako ,Mungu anazo njia zaidi ya elfu hatakupungukia.
 
Habari wanaMMU,......

Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.

Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).

Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
Hivi huko mwaka wangapi hapo chuoni?
 
Huyo hakutaki kukataa ujauzito kwa kisingizio hicho ni utoto. Lea ujauzito na umlee mwanao he/she atakuwa fahari yako.
 
Mshukuru upo chuo utalea mwanao;pata picha wale wasichana wa viijijini hawana mbele wala nyuma mbona wana lea.Simama imara,omba mungu yataisha hayo.
 
Amini wewe ni strong woman,naushukuru Mungu walao chuo umefika. Unaweza kulea vizuri mwanao bila msaada wa huyo mwanaume. Usikaribishe mawazo ya kushindwa my dia.
 
Habari wanaMMU,......

Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.

Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).

Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake

Usikate tamaa na wala usitoe ujauzito wewe jifungue kwanza kisha endelea na masomo yako, mbona wengi wamefanya hivyo na wamefanikiwa kimaisha.

Muhimu uwe umejifunza kosa lako na uachane na mambo ya uhusiano/mahusiano mpaka utakapomaliza masomo nina uhakika utakuja pata kazi ya maana(yenye masilahi) itakayokusaidia kumkuza mwanao na kuendesha maisha yako ya kila siku na pengine utakuja mpata mwenza ambae nae atakua na msimamo wa kimaisha
 
Jamani wanaume wengine wanafikiria kwa makalio kweli, hivi kama hutaki mtoto nje ya ndoa si angevumilia mpaka kufunga ndao!!? Usitoe mimba we lea mwanao mungu atakusaidia, pole sana
 
mrsleo anasema walidumu miaka 3...
unadhani dhana ya kukimbilia hapo ipo?

Sasa kuwa na mahusiano na mtu miaka mitatu ndo tiketi ya kumzalia mtoto? isitoshe msichana mwenyewe anaonekana bado mdogo kajiharibia maisha tu, bora angekuwa mdada mtu mzima mwenye maisha yake nisingeshangaa ningesema kashajikataa tamaa ameamua kuzaa tu

well, sio tiketi lkn wajua kuwa hata ndani ya ndoa mimba nyingi tu ni ajali?
Watu wanakutana siku moja hapo hapo kitu kinazama wakwetu....Kwa kukaa nae miaka 3 alishajisahau (na hii ni nature ya binadamu) na hata kama alikuwa akitumia natural ways ni rahisi zaidi kujisahau. Hili la kuwa bado mdogo kwa mwanachuo tena aliyedumu na kidume kwa miaka 3 na yawezekana hakuwa wa 1 kwake nachelea kuliamini....huyu ni mtu mzima sana tu.
 
Back
Top Bottom