Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
Huyo mwanamme, kama ningekuwa mie, ningetimka asilani. Kama mwanamme anakubali kushiriki mapenzi bila kondomu, na hata kama alivaa kondomu ikapasuka, basi ajue anawajibika moja kwa moja. Asiyetaka mimba hafanyi mapenzi.
Na hii dhana ya kuwa mwanamke ndio ajikinge tu na mimba is for weak men, wanamme wa kweli wanawajibika na wao kuwakinga wenza wao wasipate ujauzito, inapotokea hutafuta suluhisho la pamoja. Hakuna mtoto abayezaliwa na jinsia moja, kwa hiyo hakuna jinsi ambavyo jinsia moja ione haiwajibiki au imechezewa trick, lame excuse.
Mwanamme anayeshindwa kuchukua wajibu wa mimba aliyoshiriki kuipata alizaliwa kimakosa, hiyo sperm ilipotea kabisa, bora ingeenda zalisha mhogo watu tukala kripsi tu, tena na pilipili ya unga.
Ennie loves this.
Last edited by a moderator: