Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
Umenena vema, inakukwaza wewe, haiwakwazi wao.
Unaweza kuwa unakwazika na mtu kubeba mimba kabla ya ndoa. Lakini uarabuni wanakwazika na binti tu kupoteza ubikra wake. Jipime hapo.
Na njia anayopitia kila mmoja hadi kufikia ndoa ni tofauti na mwenzake, but mwisho wa siku ni kujaribu 'to be a better person' kila siku.
Ukiona askari mwenzako kaanguka, humkanyagi kichwa, mshike mkono, kama huwezi mwombee tu inatosha.

am sorry to say this but hii tabia ya wasichana kukimbilia kubeba mimba sikuhizi kabla ya ndoa inanikwaza sana