Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

Nilikua morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
Tanzania ni hapo vichakani unapoishi!?
 
Nilikua morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
Tanzania ni hapo vichakani unapoishi tu!?
 
Nilikua morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
Kwani umeshajaribu kutafuta majenereta karibu na mtaa wako ukakosa😂😂🏃🏃
 
Leo saa kumu usiku umekatika JKNI-Airport , halafu ukarudi baada ya dakika tatu. Ina maana hata Standby Generator ambalo linatakiwa kuwaka ndani ya dakika moja limechelewa. Inasikitisha sana.
 
Tanzania ni hapo vichakani unapoishi!?
Anachosema mleta mada ni kweli mikoa mingi kwa sasa umeme ukiwaka masaa 24 ni muujiza!
Niko safarini kanda ya ziwa huku ndo nimekuta balaa kabisa kuna sehemu umeme tangu ukatike jana asubuhi mpaka usiku waliwasha kuanzia saa tano usiku then asubuhi saa tatu wamekata tena mpaka muda huu usiku saa tatu hawajarudisha ina maana huku wanaofanya biashara au uzalishaji kwa kutegemea umeme ni mwendo wa majenereta kama huna unashinda umelala unakuna pumbu.!
 
Back
Top Bottom