Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,902
- 155,991
Leo nilipokuwa nafanya mazoezi asubuhi nikamuona nyoka kwenye mtaro.
Alikuwa na unene wa nchi mbili na urefu wa kama mita moja.
Kwa ajili ya kupigwa na baridi alikuwa amezubaa zubaa, nikatafuta jiwe moja kubwa lilo imara.
Nikampiga kichwani, nikaendelea kumpiga kwa vipande vya mawe vilivyokuwa jirani hadi akafa.
Nlipofika ofisini nikamsimulia mwenzangu, akaanza kuniambia kuwa ni mkosi, nikimuuliza mkosi kivipi hana jibu anasema tu ni mkosi.
sasa je huyo nyoka ningemuacha na aakawadhuru watu si ndio ingekuwa balaa....
Hata maandiko yanasema kuwa mungu aliweka uadui kati ya nyoka na mwanadamu.
Imani zetu za Kiswahili hakika zinaniacha hoi sana.
Anayejua habari za mikosi na nyoka naomba anijulishe.