Imani za Kiswahili

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,722
155,393
Leo nilipokuwa nafanya mazoezi asubuhi nikamuona nyoka kwenye mtaro.
Alikuwa na unene wa nchi mbili na urefu wa kama mita moja.
Kwa ajili ya kupigwa na baridi alikuwa amezubaa zubaa, nikatafuta jiwe moja kubwa lilo imara.
Nikampiga kichwani, nikaendelea kumpiga kwa vipande vya mawe vilivyokuwa jirani hadi akafa.
Nlipofika ofisini nikamsimulia mwenzangu, akaanza kuniambia kuwa ni mkosi, nikimuuliza mkosi kivipi hana jibu anasema tu ni mkosi.
sasa je huyo nyoka ningemuacha na aakawadhuru watu si ndio ingekuwa balaa....
Hata maandiko yanasema kuwa mungu aliweka uadui kati ya nyoka na mwanadamu.
Imani zetu za Kiswahili hakika zinaniacha hoi sana.
Anayejua habari za mikosi na nyoka naomba anijulishe.
 
Achana na hiyo kitu au hilo wazo ya kuwa,INAWEZA KUWA MKOSI!
kwani hamna kitu ni nyoka tu huyo.
Unajua,a human mind has immensely power ambayo inaletea almost kila kitu ambacho unaweza kukufikiria na kukihitaji,mfano ukifikiria mmkosi utapata mkosi,ukifikilia pesa utapata pesa na mengineyo.

ukiwa unafikili kitu,its like you place an order to the Universe (like ordering through e-bay) and the universe deliver what you ordered.
sasa angalia usije ukawa una place an order for MIKOSI!
 
lm alwayz thinking positively... mi nimeshangazwa na hayo mambo ya MIKOSIMIKOSI.
 
mkosi?how?so usiue nyoka ali akuwahi kukuua ww?its just that huyo jamaa bado ana mila zileeeeeeeeeeeee
 
Hamna mkosi wowote ule mi mwenyewe ni kiwa mdogo nilikuwa naambiwa ukiua nyoka unasamehewa dhambi hivyo nilikuwa najitahidi sana kuua nyoka.kumbe nyoka ni viumbe kama viumbe wengine tu,hakuna kitu mkosi huyo jamaa mchunguze vizuri lazima atakuwa mshirikina
 
Hamna mkosi wowote ule mi mwenyewe ni kiwa mdogo nilikuwa naambiwa ukiua nyoka unasamehewa dhambi hivyo nilikuwa najitahidi sana kuua nyoka.kumbe nyoka ni viumbe kama viumbe wengine tu,hakuna kitu mkosi huyo jamaa mchunguze vizuri lazima atakuwa mshirikina au mlokole maana mambo yao sawa tu paka akilia tu ni pepo ni kukemea
 
Yani ww ulikuwa wakuzambika tuu tangu ukiwa mdogo?!!
 
imani zingine zimeshapitwa na wakati..
mie siku moja mgeni kaja kwangu katokea village kwetu saa tatu amemaliza kula nikaanza kusafisha nyumba kufagia na kupanga ile pawe katika hali ya usafi ..
Mgeni akanambia ooh unaleta mikosi ndani ya nyumba pia unafukuza baraka
Nilibaki namshangaa tu
 
Ukiwa na imani hizi utaogopa hata kumuua jambazi mwenye silaha
 
Mleta mada ya mkosi wewe unafanya kazi ofisini/ofisi ya kisomi au zile ofisi za mjini? hata kwenye banda la simu unajua tunaita ofisi?hata kupiga viatu rangi ile ni ofisi.
 
Hivi nyoka wanatakiwa kuishi wapi jamani??????
kuna wengine wanasaidia sana kusafisha mazingira kwa kula vijidudu.
 
Kwa hiyo waachwe wawadhuru watu kwa sababu wanasafisha mazingira! wewe huwajui nyoka!
 
Siyo nyoka wote wanadhuru jamani. Halafu suali langu ni kuwa wanastahili kuishi wapi???? maana tunazidi ku-encroach maeneo yao.
 
Imani za kiswahili nyingi zinaukweli, kinachokosekana ktk imani hizi za kiswahili ni maandishi na research za kutosha zakuweza kuthibitisha madai.

Inawezekana kuwa kuuwa nyoka sio nuksi, lakini nadhani kuna mengi yanaukweli na yanahitaji utafiti zaidi. Sitokubali kama wengine wanavyoamini kuwa kila jambo la kiswahili basi ni uongo na yamepitwa na wakati, naamini pia kuna mengi mazuri na yaukweli
 
Hamna mkosi wowote ule mi mwenyewe ni kiwa mdogo nilikuwa naambiwa ukiua nyoka unasamehewa dhambi hivyo nilikuwa najitahidi sana kuua nyoka.kumbe nyoka ni viumbe kama viumbe wengine tu,hakuna kitu mkosi huyo jamaa mchunguze vizuri lazima atakuwa mshirikina au mlokole maana mambo yao sawa tu paka akilia tu ni pepo ni kukemea

Nimecheka sana loh....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom