Imagination juu ya masupastaa wa JF

Maria ni mama wa watoto 2 kibonge fulani hivi wajua figa za kiafrica :wink2::wink2:
we tuko ukoje??
 
Hahaa lol haya yanaweza kuwa ni mawazo ya Tuko, lakini niliwahi kukutana na Maxence (JF Founder) nilivyokuwa namfikiria ilikuwa absolutely zero.. nilidhani ni mtu mrefu,mwili jumba,yuko serious sana,nk lakini hahaaa ni mshikaji tu halafu mpole,mwembamba,yuko makini sana anaposikilza kitu,mnyenyekevu,anatabasamu kila wakati..
 
Mimi huwa namuimagine michell kama bongeee, lizzy mwembembaaa, hashycool, klorokwin na uporoto huwa nawaimagine miili yao midogo tofauti na maneno yao. Haswa klorokwin ndio nakaimagine kaduchuuu.
TF huwa nahisi ni mbaba haswa.

Firstlady na wiselady huwa nahisi ni wanene warefu wa wastani.
LD na Dena huwa nahisi ni weupe.
Lady N na gaga nahisi weusi.
Dah, wengine ngoja nisitaje ninavyowaimagine.
Mimi je?
 
Mie huwa nahisi wewe ni mdada mwembamba wa wastani mcheshi una moyo wa kujitolea
 
Mimi huwa namuimagine michell kama bongeee, lizzy mwembembaaa, hashycool, klorokwin na uporoto huwa nawaimagine miili yao midogo tofauti na maneno yao. Haswa klorokwin ndio nakaimagine kaduchuuu.
TF huwa nahisi ni mbaba haswa.

Firstlady na wiselady huwa nahisi ni wanene warefu wa wastani.
LD na Dena huwa nahisi ni weupe.
Lady N na gaga nahisi weusi.
Dah, wengine ngoja nisitaje ninavyowaimagine.
Mimi je?
Hus si mrefu au mfupi ana mwili wa wastani,maji ya kunde
 
Mimi huwa namuimagine michell kama bongeee, lizzy mwembembaaa, hashycool, klorokwin na uporoto huwa nawaimagine miili yao midogo tofauti na maneno yao. Haswa klorokwin ndio nakaimagine kaduchuuu.
TF huwa nahisi ni mbaba haswa.

Firstlady na wiselady huwa nahisi ni wanene warefu wa wastani.
LD na Dena huwa nahisi ni weupe.
Lady N na gaga nahisi weusi.
Dah, wengine ngoja nisitaje ninavyowaimagine.
Mimi je?

hahaha!we hus mbona hujamalizia nafananaje?ukimaliza ntakwambia vile ulivyo!
 
Umepatia kaa 85%.

Nina kitambi ambacho mara zote kinaniletea ugomvi na mke wangu.
Fikiria nilikuwa mcheza kabumbu matata Beki 4 mpaka nilipokuwa na umri wa 21, kaa 23 years a go.
Inabidi nijitahidi kufit kwenye hiyo Imagination ili siku ya kutoa picha zetu halisi ikifika nisije kuwa kaa Captain Komba.

nahisi wewe ni mrefuu halafu una mwili mnene kiasi ila huna kitambi.
 
hahaha!we hus mbona hujamalizia nafananaje?ukimaliza ntakwambia vile ulivyo!

aah! Nikimalizia nitaharibu uhondo. Features mbili zinatosha.... Haya ngoja niendelee,
nahisi una mashavu manene na macho ya duara. Pia nahisi unapenda kula kula lakini hizi bites bites sema unene wako sijui wa asili. Ha ha ha! Lol.
 
Umepatia kaa 85%.

Nina kitambi ambacho mara zote kinaniletea ugomvi na mke wangu.
Fikiria nilikuwa mcheza kabumbu matata Beki 4 mpaka nilipokuwa na umri wa 21, kaa 23 years a go.
Inabidi nijitahidi kufit kwenye hiyo Imagination ili siku ya kutoa picha zetu halisi ikifika nisije kuwa kaa Captain Komba.

ha ha ha!
Nakwambia hizi imagination siku tukionana lazima tutoke nduki. Lol!
Mimi mbona hujaniambia?
 
Back
Top Bottom