Imagination juu ya masupastaa wa JF

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Jf ina memba wengi lakini wapo baadhi ambao kutokana na nature ya michango yao wametokea kuwa masupastaa. Fikiria watu kama M.Mkjj, Asprin, Finest, Maria Roza na wengine. Hivi kwenye maind yako ulishawah kuimajin hawa supastaa wakoje? Kwa mfano mi ninavyomuimajin Lizzy: kuwa ni mdada mrefu hivi, ana kaufiga, mweupe, anavaa miwani myeus na anapenda kuvaa suruali za kubana. Alaf namuimajin Rose1980 kama mdada flan hv mwongeaji sana na mbish, alaf atakuwa mrembo fulan mwenye figa ya ki-modo. Yani kuna wakati nikikatiza town namuona mtu alaf maind yangu inajiconvince namuona FirstLady1. Hata ivo I wish nisiwaone hawa watu isije wakawa tofauti sana na ninavyowaimajin... lol.
 
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!

Hahahahaha!Umenipatia 90%!Hata mimi hua najiuliza kuhusu watu flani flani hapa...wengine nawajua!Enhe na wewe tuko embu tupe picha yako!
 
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!

teh teh sasa the fainest atachomekeaje mashati na ana kitambi kama nyumba hahaa
 
PJ mtu fulani wa kati ya 30 na 40, yuko faster urefu wa kati ana mwili wastani lakini hana kitambi
 
Huwa wanasema heri uamini Mungu yupo uende umkose kuliko usiamini kisha umkute. Kwa jf ni tofauti. Amini tu kuwa hizo imagination zako ni very plain. Sauti ya mtu si lazima ilandane naye
 
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!

PJ...umeniacha hoi....:laugh::laugh::laugh:
 
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!

Ahaa ahaa ahaa PJ sikuwezi haya bana
 
Mkadilieni Invisible alivyo :wink2:

Ninavyo muimagine mimi invisible ni mrefu kiasi, si mwembamba wala si mnene, mweusi,anapenda kuvaa mashati ya mikono mifupi na viatu vile design ya four angle :)
 
Back
Top Bottom