Imagination juu ya masupastaa wa JF

aah! Nikimalizia nitaharibu uhondo. Features mbili zinatosha.... Haya ngoja niendelee,
nahisi una mashavu manene na macho ya duara. Pia nahisi unapenda kula kula lakini hizi bites bites sema unene wako sijui wa asili. Ha ha ha! Lol.

hahaha!dah!sitii neno,,lol! husn ana mwili wa wastani,height ya wastani,maji ya kunde.
 
Husninyo.
Kimo Futi 5'2'
Maji ya kunde
Hupendi kupiga Tizi
Si mpigaji mzuri wa ulabu.
Mwili wa Wastani.

Huonekana Mvivu wa kuongea lakini ukipewa Microphone unaweza toa hata siri yako.
Hupendi kutaniwa na vibwana mdogo lakini wewe ni mtoa vijembe mzuri.
Hadharani mtu wa staha.
Mafichoni unapenda sana mademu lakini unamwogopa mshikaji wako umpendaye sana.
Bado unapenda kujua siri ya mambo kibao, unafanya bidii kujifunza

ha ha ha!
Nakwambia hizi imagination siku tukionana lazima tutoke nduki. Lol!
Mimi mbona hujaniambia?
 
Husninyo.
Kimo Futi 5'2'
Maji ya kunde
Hupendi kupiga Tizi
Si mpigaji mzuri wa ulabu.
Mwili wa Wastani.

Huonekana Mvivu wa kuongea lakini ukipewa Microphone unaweza toa hata siri yako.
Hupendi kutaniwa na vibwana mdogo lakini wewe ni mtoa vijembe mzuri.
Hadharani mtu wa staha.
Mafichoni unapenda sana mademu lakini unamwogopa mshikaji wako umpendaye sana.
Bado unapenda kujua siri ya mambo kibao, unafanya bidii kujifunza

ha ha ha! Mbona umetoa sifa za kiume ume.
Napenda mademu!!
Duh ya leo kali!
 
aah! Nikimalizia nitaharibu uhondo. Features mbili zinatosha.... Haya ngoja niendelee,
nahisi una mashavu manene na macho ya duara. Pia nahisi unapenda kula kula lakini hizi bites bites sema unene wako sijui wa asili. Ha ha ha! Lol.
Hehehe!Hus mchokozi wewe!Napata picha we una umbo wastani...sio mrefu sana alafu mweupe!
 
ha ha, kwa WiseL nimegonga ikulu maana hadi amesema hatii neno...
Natumai ipo siku nitaonana jf members including lizzy.
 
Hehe inawezekana ni kweli!Mmh me hope so too Hus....ila hizo picha tulizo nazo zikitofautiana na 'the real thing' watu watachoka kushangaana!
 
Ha ha ha ha ha
Kaka samahani, lakin kusema kweli it was out of my reach
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom