I'm scared, what if we don't match?

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
guys wazima siku mingi sijatinga hapa ila sio ishu saaana ila jaman hebu tumsaidie huyu binti is one of my frend amempenda mkaka bila kuonana zaidi ya picha tu.

Wamekua wakitumia mkaka kwao mambo ya kishua kidizain, mdada kawaida tuu na she is moderate tu na wanawasiliana kwa miezi sita sasa na ni wapenzi siku moja mvulana akamwambia mwenzie kuwa anaogopa wat if akija na mara wasiwe wanaendana itakuaje?

Sasa yule binti anampenda mshikaj na alikuwa afikiri chochote bt since yule kijana amwambie hivo yan kakosa imani nae, pia hayupo comfortable kama zamani.

Sasa afanye nini huyu binti jamani? She is in love n is about a month ataenda onana na kijana, so ushauri wako ni muhimu sana.
 
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
 
pokea malike ya kufa mtu
 
eti wapenzi!yaani dunia ya leo sijui imekuaje.unadiriki kumuita mtu mpenzi wakati hamjawai onana.eti picha tu ushachanganyikiwa.
 
Kuendans sio issue ila cha msingi ni maelewano....kwa maonezi yao tu watakuwa wanaendana hao wala ashofu
 
Duniani kuna mambo......mmhhh Mama Tuli endelea kukua uzidi kuona na kuyasikia mengi
 
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
Eiyer umenifurahisha sana,ila haya mambo yana muda wake inawezekana umri wao unaruhusu kwahiyo ni sawa tu hata sisi tulipitia huko......lol
 
Last edited by a moderator:
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
Umetishaaa alooo mi unajua nimemshangaa huyo kijana atakua sio mzima labda
 
eti wapenzi!yaani dunia ya leo sijui imekuaje.unadiriki kumuita mtu mpenzi wakati hamjawai onana.eti picha tu ushachanganyikiwa.

Je wrong number washangaa picha me wat i do believe therer is no special place people can go n find those they love noooh so refer to we found love in a hopeless place by rihhana.[ mtazamoo tuu]
 
guys wazima siku mingi sijatinga hapa ila sio ishu saaana ila jaman hebu tumsaidie huyu binti is one of my frend amempenda mkaka bila kuonana zaidi ya picha tu.

Wamekua wakitumia mkaka kwao mambo ya kishua kidizain, mdada kawaida tuu na she is moderate tu na wanawasiliana kwa miezi sita sasa na ni wapenzi siku moja mvulana akamwambia mwenzie kuwa anaogopa wat if akija na mara wasiwe wanaendana itakuaje?

Sasa yule binti anampenda mshikaj na alikuwa afikiri chochote bt since yule kijana amwambie hivo yan kakosa imani nae, pia hayupo comfortable kama zamani.

Sasa afanye nini huyu binti jamani? She is in love n is about a month ataenda onana na kijana, so ushauri wako ni muhimu sana.

Mapenzi ya kweli hayaangalia muonekano wa mtu, mara nyingi ni dhamira iliyojificha na kujijenga ndani ya moyo wa mtu. Kwa maelezo ya hapo juu mwenye mashaka ni huyo kijana na siyo dada, kitu kinachonifanya nifikirie kuwa inawezekana huyo kaka hana mapenzi ya dhati wakati huyo dada ndo keshafika! Nalazimika pia kuamini kuwa inawezekana huyo kaka anapenda tu kampani na hana mkakati wa dhati wa kuwa mpenzi wa huyo dada while dada anafikiria the otherway arround!

Ushauri ni kuwa huyo dada awe makini maana maneno ya huyo kijana yanaonyesha kuwa ana-expectations za kukutana na dada mwenye muonekano na pengine hata figure fulani itakayo mvutia na kinyume cha hapo, atakuwa hana mpango na huyo binti. Fikra hii haionyesha mapenzi, bali tamaa!

Kwa ushauri, atafakari haya maneno na kuchukua hatua, that is penda unapopendwa!
 
Beibe Nasty pole!kama picha zipo!tatizo nini...kuwasiliana bila kuonana miezi 6 hata tabia zinajifunua!
 
Watu wanadata na picha..kaone mtu alivyo uone..Ina maana kapenda picha tu?.Upendo wa siku hizi mmh.kwa hiyo sahivi mkaka akipendwa tu anakubali?..je yeye kampenda?..au ndo vidate tu?.mwishoni muumizane tu.:A S check_03:
 
Babu yangu alichumbia mimba ya mama yangu, na baba yangu akaoa na ndoa yao ilikuwa mwaa beyond . Huyu kaka na picha kaona anamatatizo huyo!
 
Mapenzi ya kweli hayaangalia muonekano wa mtu, mara nyingi ni dhamira iliyojificha na kujijenga ndani ya moyo wa mtu. Kwa maelezo ya hapo juu mwenye mashaka ni huyo kijana na siyo dada, kitu kinachonifanya nifikirie kuwa inawezekana huyo kaka hana mapenzi ya dhati wakati huyo dada ndo keshafika! Nalazimika pia kuamini kuwa inawezekana huyo kaka anapenda tu kampani na hana mkakati wa dhati wa kuwa mpenzi wa huyo dada while dada anafikiria the otherway arround!

Ushauri ni kuwa huyo dada awe makini maana maneno ya huyo kijana yanaonyesha kuwa ana-expectations za kukutana na dada mwenye muonekano na pengine hata figure fulani itakayo mvutia na kinyume cha hapo, atakuwa hana mpango na huyo binti. Fikra hii haionyesha mapenzi, bali tamaa!

Kwa ushauri, atafakari haya maneno na kuchukua hatua, that is penda unapopendwa!

Asanteeeeee mkuuu umenena mpenzi ndo najaribu pata maoni niweze toa advice kwa shost wangu
 
Back
Top Bottom