Hiyo ya kwny pcha duh!mi jaman wanaume wazurii sn kwa sura mi no!ila awe makin na kuendana kwl kunamatter cz uwez kuta ye mnywaji,m2 wa club sn alaf ye knyume wakaendana,mi ushaur labda acwe na hopes sn kwel wakutane wasomane vzr
Bahat mbaya jf hakuna mashindano ya usupa star so kajipange upyaa. Nimeomba msaada mtu anamatatizo sa wewe waja ni crush do u tink im making up sm stories? Hell noooh so as ur id ogopa sana hebu jiogope mwenyewe, we wawap?Joining Date yako inanitia mashaka...JF ni tofauti kabisa na FB.
Babu yangu alichumbia mimba ya mama yangu, na baba yangu akaoa na ndoa yao ilikuwa mwaa beyond . Huyu kaka na picha kaona anamatatizo huyo!
............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!
eti wapenzi!yaani dunia ya leo sijui imekuaje.unadiriki kumuita mtu mpenzi wakati hamjawai onana.eti picha tu ushachanganyikiwa.
Eiyer nimekupendaje kwa hili? sisemi tena kitu manaake umeyamaliza yote. ndoa yako na Kaunga ibarikiwe sana. mukapewe triplets ili mumalize kuzaa mapema mule raha tu.............Wanadamu wa leo ni mahangaiko matupu,match?For what?Tuna tatizo kubwa sana la kutokujua upendo ni nini hasa.Kwanini tusipimane kwa ubinadamu wetu?......Jamani mimi Eiyer sijui ni mshamba au naishi dunia ipi,mimi bana huwa sina makomplikesheni. . . Kama tumekubaliana tuwe pamoja basi masuala sijui una rangi gani,sijui urefu hayana nafasi kwangu....,..Ninachoangalia ni tabia tu,tena mambo machache. . . . . . Enewei endeleeni na usasa wenu!