Freemason ni chama cha siri kilicho ndani ya illuminati,huwezi kuwatenganisha hawa,kama tz kuna freemason ina maana kuna illuminati pia,huwezi kuwa rais wa nchi yoyote bila kutambulika kwa hawa wanaomuabudu Lucifer!
Mkuu
FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies
- The oath of secrecy
- Oath against division
- Oath of absolute obidience
- Oath of Honest
- oath of support
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.
Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail
Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Ni kweli kwamba ni taasisi zinajitegemea, lakini kitu kimoja ni kwamba taasisi zote hizi zinapata amri (command) kutoka kwa mtu mmoja. Kimuundo kuna 'inner circle' na 'outer circle'. Kwa taasisi zote, ukiwa mwanachama kwenye 'outer circle' huwezi elewa kinachoendelea, ila ukiwa mwanachama kwenye 'inner circle' ndo hapo unajua siri zote na unakula kiapo ambacho ukikivunja adhabu yake ni mauti. Taasisi hizi zote zimeanzishwa na 'Jesuits order' na ziko controlled na Jesuits chini ya "Black pope" aka, Superior General; na Jesuits ni taasisi ndani ya Vatican.
Nimesoma hicho Da vinci Code na Holy Grail... kweli Dan Brown amewachambua hawa jamaa kwa kiasi ambacho mtu unapata mwanga. Ukiangalia na filamu zake ndo utapenda zaidiUkitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail
Mkuu
FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.
- The oath of secrecy
- Oath against division
- Oath of absolute obidience
- Oath of Honest
- oath of support
Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail
Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Source nyingingine very powerful ni Presentation yenye jina, "The secret behind secret societies," imeandaliwa na Prof. Walter J. Veith. inapatikana www.amaizingdiscoveries.org
Utafahamu ukweli mkuubwa na agenda ya msingi ambayo huijui ya his secret socities
Freemason ni chama cha siri
kilicho ndani ya illuminati,huwezi kuwatenganisha hawa,kama tz kuna
freemason ina maana kuna illuminati pia,huwezi kuwa rais wa nchi yoyote
bila kutambulika kwa hawa wanaomuabudu Lucifer!
Kasome LOST SYMBOL & ANGELS and DEMONS by Dan Brown ni Novel lakini zina ukweli mkubwa kuhusu mambo ya Freemasons,Illuminati.
Naomba uthibitishe hapo ktk red.
Umesahau kuwa hizo novel zote ni FICTION...
Sio kweli kuna facts nyingi tu na ndo maana zinapendwa sana, Da Vinci Code imewahi kuleta utata sana hata baadhi ya media za dini za RC mfano Radio Maria walijaribu kuitolea ufafanuzi.
Mkuu
FreeMason na Illuminati zote hizi ni secret socities zinazojitegemea. Freemasons haiko ndani ya Illuminati. Kumbuka zipo nyingi sana na hizi ndizo zinazoongoza dunia kisiasa na kiuchumi. Nitakutajia chache....Skull and Bones, Bilderberg group, Knights Templar, Opus Dei, SCAN, New world Order etc etc...Kila society ina taratibu zake na sheria zake. Ziko tofauti kulingana na imani. Kuna vitu kama 5 vinavyofanana kwenye hizi societies
Member anapokiuka basi hupewa adhabu kali, kama kifo, eyeballs pierced and even feet being flayed.
- The oath of secrecy
- Oath against division
- Oath of absolute obidience
- Oath of Honest
- oath of support
Ukitaka zijua tafuta vitabu hivi The Da vinci code na Holy Blood, Holy grail
Kuna kitabu nasoma cha Sylvia Browne ameelezea sana......kuna maraisi wa nchi nyingi na most powerful peoples wako kwenye hizi secret societies
Illuminati wao wanajitamba kuwa hawajaanza kutawala dunia bali wapo kwenye mkakati wa kuondoa hii wanayoiiita old world order(OWO) na kuweka new world order(NWO) kwa kuondoa tawala za kidunia zenye mifumo ya kinyonyaji na kuunda kitu zaidi ya demokrasia wanaita 'meritocracy' wanailaumu freemanson kwa ku-mainstream richest people ambao wananyonya wanyonge( wanaitazama freemanson kama taasisi ya kutajirishana na kuendeleza old world order). kuhusu alama zao inaonyesha hawapishani sana.What i the difference between freemason and illuminati people? Are they not the same?
Probably kila binadamu ni member wa hizi society katika ngazi tofauti. Hauhitaji kitambulisho wala passport katika outer cycle. University kubwa zote duniani ndio kazi yao kukushape katika order hiyo bila wewe kujua